Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 416
...Mkuu walevi wazoefu hata ukimwambia atembee juu ya kamba anasepa vizuri kabisa...sembuse humo kwenye matofali???Sasa wakishalewa inakuaje wakati wa kukanyaga matofali ili waende nyumbani kunausalama kweli ?