Mvomero: Wananchi kutumia maji pamoja na mifugo

Mvomero: Wananchi kutumia maji pamoja na mifugo

wacha waisome namba weeeeeeeee ccm mbele kwa mbeleeeeeeeeee
ila nawasikitia tu kwamba wao wameanza kuisoma namba mapema sana
 
kweli Tanzania bado Elimu inahitajika tena. Japo hawaitaki ila nadhani kuna haja wapelekwe kwa lazima..

zadi ya mtu anailalamikia siri-kali halafu angalia alichovaa

huu ni upimb
i

wewe ndio unaonekana pimbi zaidi yao...........
alichovaa kinamzuiaje kulalamika huduma anayopaswa kupewa na serikali?
 
tena natamani niende kunya kwenye hayo maji ili waisome namba vizuri
 
Hapa kazi tu, wacha waisome namba eeeehhh, sisiemu mbele kwa mbele.
 
wewe ndio unaonekana pimbi zaidi yao...........
alichovaa kinamzuiaje kulalamika huduma anayopaswa kupewa na serikali?

1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
 
Maji ya Ruvu tunayotumia Dar yananywewa na kila mnyama, si ng'ombe tu. Kumbuka hilo.

kuna kitu umesahau.........''WATER TREATMENT''................sasa kwa mwananchi wa kawaida/kipato cha chini ataweza?....
 
Weitaaa# nniongzeee windhoek bariddddd# acha nijifaidishe kooooo yanguuuu# huko nyie mvomero muisome # tuuuu hehehehe
 
kuna kitu umesahau.........''WATER TREATMENT''................sasa kwa mwananchi wa kawaida/kipato cha chini ataweza?....


Huyo ajuza anadhani kila mtu anapata buku saba kama yeye.
Wanakunywa hivyo kwasababu hawakuwa na option nyingine.
 
Morogoro ni haki yao kunywa maji machafu kwa sababu ni ngome ya mafisiem.
 
Wenzenu tunakunywa maji haya sahvi
 
Morogoro ni haki yao kunywa maji machafu kwa sababu ni ngome ya mafisiem.

wenyewe wanakuambia

hatunywi sumu hatujinyongi/
sisi Emu mbele kwa mbele/
chaguo letu wenyewe tumeipenda wenyewe //

nashangaa wakitokwa na mipovu na kulalamiika
 
Back
Top Bottom