nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,858
- 4,872
>Waungwana naamini woote mu salama.
Kuna katabia ka jamaa fulani wa TRA (kwa anavyojitangaza) kanachefua, huyu jamaa anapendelea sana bar sinza.. Kozi namfahamu na nilisha sikia tabia yake, leo namleta kwa wanajamii wenzangu tuangalie namna ya kumkomesha hii tabia.
Kwa kifupi huwa anatabia ya kuvia au kunyemelea dem yeyeto na kumpa namba ya simu, jina na anakofanyia( kama ni kweli), jana nikiwa maeneo ya makaburini, kuna bar moja maarufu kiasi, kuna aina ya lounge, with my wife,,, alikuwepo pale, anajichekesha kishamba shamba,, kitambi kikubwaaa..... kumbe akiwa pale alikuwa anavizia upenyo amtongoze wife, wahudumu wa pale wanatufahamu vema, so mida tunaondoka pale ilikuwa around saa 2.30, nilienda washroom, i come bak, off we go,,, tukiwa nje,,, wife akaniambia ona hii karatasi, kanipa yule mkaka unaesemaga mviziaji.
Nikaichukua imeandikwa "NIPIGIE- ERIC WA TRA 07.............." sikufurahishwa na kitendo kile, na hasa kimenitokea na mimi....
Sasa wanajamii, naomba tushauriane kutokomeza huu UFATAKI wa bwana ERIC WA TRA, kwa nia njema kabisa,, coz kuna siku ataingia shimo lenye miiba...
Najua kuna watakaotaka hiyo namba,, si neno ntaitoa, najua kuna hata dada zetu humu watataka kumrusha roho,, ruksa, ila tufanyaje ili AKOME?
Kwa nini ajieleze eti WA TRA? au ndo kamtego kake ka ki zamaaaani!!!!!!!
Nakabidhi kwenu WANAJAMII.
karibuni