Mvinyo wa zamani ndani ya chupa mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvinyo wa zamani ndani ya chupa mpya

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Kilembwe, Sep 9, 2009.

 1. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hello wana jamvi, kwanza nawasalimu sana, amani na iwe juu yenu. Mimi si mgeni sana hapa jamvini nilikuwepo ila na nilijulikna kama " kitoto", sasa kutokana na sababu zilizo nje kabisa ya uwezo wangu naja kama" kilembwe"
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kilembwe karibu sana
   
Loading...