Mv Magogoni

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Hivi unaijua misemo na maneno yanayosemwa na yule mwanadada kule juu wakati mmepanda kivuko cha MV MAGOGONI??
Baadhi ya maneno hayo au misemo hiyo maarufu....
Abiria mnaoingia katika kivuko cha mv magogoni pandisha juu kuna nafasi zimetengwa kwa ajili yenu.
Abiria tunawaombeni muwe watulivu kwani kuna meli tunaisubiria ipite ili tuvuke hivyo tunaombeni muwe na subira.
Abiria mlioko ndani ya kivuko tumefika upande wa magogoni hivyo tunawaomba mpite pembeni na pembeni ili kuacha njia ya magari kupita.
Abiria tunawatakia safari njema karibuni tena katika kivuko cha Mv Magogoni.
 
stevoh bila shaka sikukuu hii nitatembelea huko ili nami niyasikie hayo.
 
Last edited by a moderator:
mtu kwao...naona unaipigia promo kigambonino...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…