MV Liemba aka Graf von Goetzen

MV Liemba aka Graf von Goetzen

Mkuu Mimi mwenyewe mwaka 2007 niipata from Kigoma to Kirando aisee siyo kwaupakiaji mizigo ule, niiapa kamwe sitoludia kuipanda.
Lile ni jeneza linalotembea!!! Halafu eti wanajisifia kuwa ina zaidi ya miaka 100!!lile ni gari la mkaa!! Likianza safari kurudi tena lilipoanzia ni kama mwezi mmoja, miaka ya nyuma lilikuwa linajulikana kama oil tanker, kwani ndio lilikuwa linawauzia mafuta ya wizi wavuvi, yaani wafanyakazi walikuwa wanagema mafuta balaaa!!! Hadi siku moja walizidisha kupiga kidebe hadi likazimikia ziwani!!!
 
[emoji81] [emoji81]
 
Tuache kuitumia kufanya safari, ibaki kama sehemu ya kivutio cha utalii, kumbukumbu ya Mjeumani. Gustav Adolf Grapf Von Göetzen
 
Back
Top Bottom