Muziki zilipendwa haupatikani..

bado sipati
...Kama simu yako ina Fm radio jaribu kutuliza hasira radio one kipindi cha hizi nazo kiko hewani...sasa hivi mzee mzima hemed maneti naEddy sheggy wanafanya mambo na wimbo wao ' Mwisho wa mwezi una mambo , habari gani hugeuka how are you?, smahani wanasema sorry!!!
 
Very sorry, hatuku-detect kuwa kulikuwa na tatizo hilo, tunamshukuru member mmoja ambaye katuandikia barua pepe kutufahamisha juu ya tatizo hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom