one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,310
Napenda tuchangie tuone wapi muziki wetu unakwama hasa katika Live show.
Na hapa siongelei kikundi kimoja ni kwa ujumla. WCB ni katika label iko juu hapa Tz na ni kama kiongozi wa mzuki wetu na kwa bahati mzuki wa Bongo Fleva unakubalika na uko katika peak yake au tuseme uko juu. ila wasiwasi wangu tusipojirekebisha sasa katika perfomance za Live show basi hautaenda mbali.
Jana nimeangalia show ya WCB Muscat kwa kweli sidhani kama watu watalipa siku nyingine show haikuwa nzuri kabisa tuna trend katika media katika mambo mengine lakini ikija real perfomance tunashindwa hatuwezi Live music jana was so poor na hii ni WCB sasa hao wengine wataitwa na nani maana label kubwa poor.
Wasanii wajitafakari sana au wataishia njiani hakuna userious katika kufanya Live music shows.