Muziki wa dance warudi kwa kishindo

Kennethmhaiki

Member
Feb 21, 2013
64
37
Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta unaingia kwenye bongo fleva- dansi.

Ukiangalia maudhui kama kucheza na hata nyimbo zake utakuja kubaini kuwa dance inarudi tena kwa KISHINDO, ni wakati sasa kwa band kama Twanga pepeta, Akudo, Msondo kuanza kujipanga upya kwenye awamu hii ya pili ya Bolingo na ngai.
 
Hahahaha hizo bendi zenyewe wapiga vyombo wengi wameshapukutika na ‘Dali Kimoko’ unaweza kuta amebakia mshika mic mmoja tu na mpiga tumba 😅😅😅
 
Mambo ni namna hii
ezgif-6-70788973435c.gif
 
Back
Top Bottom