Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
Hii bendi ilianzishwa huko US mwaka 2005. inaimba indie rock na folk rock (mziki wa asili). walitoa album yao ya kwanza mwaka 2012 inaitwa the lumineers hii ilishika no 2 kwenye billboard 200. Album ya pili inaitwa cleopatra imetoka 2016. hii imeshika no 1 kwenye billboard 200.