Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
he he he heHahaha panakuaje kitandan?
Hiyo avatar ni weweUnakuta viatu vya aina mbili mlangoni,bado unakazana kupiga hodi.Unataka kugundua nini?View attachment 728661
Hahahaha halafu ukikaribishwa ndani unaingia kweli ama?Viatu havi maanishi chochote
Kwa hiyo ntagonga mlango hata kwa kutumia jiwe mtakuja tuu kunifungulia na kanga zenu, sjui mataulo yenu mtajua wenyewe
Hahahahaha we chigeMi ni roho ya kwanini; lazima nizidishe kasi na nguvu ya kugonga mlango!
Haiwezekani mtufanyie makusudi halafu tuwaache tu... HAIWEZEKANI!
Na mkijifanya wabishi nitawaita hata kwa maJina... cpendi ujinga mimi!
Hahaha kwa hiyo wanakukata jicho kalihe he he he
kitandani kuna kuwa na kamvurugano fulani hivi, na kaharufu kasikokatika.
Ukiangalia sana wanajua umesikia kaharufu.
Naingiaaaaa! Mpaka shda yangu iisheHahahaha halafu ukikaribishwa ndani unaingia kweli ama?
Hahaha mie kuniweka sebleni nikae tuuuuuu ni heri niondoke nirudi badaeKwani wote wanaishi sebule chumba, wengine wana sebule na vyumba hivyo akiingia unamwacha sebuleni asubiri hata masaa 4 peke yake alafu ndo unatoka kumsindikiza huyo mwenye open shoes (akigonga siku nyingine basi anastahili kupelekwa Mirembe)
Khaaa ukakute watu hawana hata nguo utasemajeNaingiaaaaa! Mpaka shda yangu iishe
Mi si kivuruge bhana
Hiyo inaitwa tukose wote... atakapokosea ni pale atakapoamua kukufungulia aki-assume utaongea kilichokuleta chap chap kisha unasepa; kumbe wapi!Hahahahaha we chigekweli hiyo ni roho ya kwanini
Hahahaha yani we ni hufai siku nyingine hata ukigonga hufunguliwi,ukipiga simu hupokelewiHiyo inaitwa tukose wote... atakapokosea ni pale atakapoamua kukufungulia aki-assume utaongea kilichokuleta chap chap kisha unasepa; kumbe wapi!
Unapiga story weeeeee; potelea mbali hata kama watakuwa hawanipi ushirikiano! Sitoki hadi nahakikisha shemela keshapanda daladala.
Hata wakini-mind; poa tu; Mungu atanitunuku zigo la thawabu!
Hii mbinu itanisaidia watu wasinisumbue mchana ni mwendo Wa kuweka hivi kila siku.
Hapa sasa nshakuelewa maana kuna muda nikawa hata nikicomment post zingine inatokea,nilivyofunga na kufungua app naona imebadilikaJolie Jolie umeona huku unaonekana na OP kwa kila comment, sababu uzi ni wako...
Unakazia eekweli ni mbinu nzuri.
Kuna muda unahitaji kutulia tu peke yako ndo mbinu kama hizo hutumikaUnakazia ee
Nyie Joliejolie na Bilionea Asigwa ... mbavu zangu jamani!he he he he
ukirudi unakuta kila mtu jicho jekunduu, halafu hana time na mwenzake
Kuna muda unahitaji kutulia tu peke yako ndo mbinu kama hizo hutumika.