Huyu 'mtoto' hawezi kuwa muuaji ila kifo cha kanumba kilikumbana na uwepo wa lulu wakati wa kumfika kanumba.
Dhambi zake kama vile kuvaa nguo fupi,majibu ya majigambo, na kujidaia kuyatenda ya wakubwa akiwa mtoto ndivyo zinazowafanya watu wadhani lulu anastahiri kuwa muuaji. Ni nani msafi kati yetu hadi aone kwa urahisi dhambi za wengine?
Tunaompenda kanumba
tunadhani kifo kimemuonea kanumba kupitia lulu, tunasahau kuwa mauti yapo mbele ya kila mmoja wetu, pasipo kuzingatia umaarufu,umri, cheo,etc... Tusishangae Mungu asipo muhesabia lulu dhambi ya mauaji.