Muwasho ukeni

Mimi k

Member
Jan 10, 2012
18
3
helo,ni sehem yake ndo inawasha hasa ya ndani lkn sio ndan kabisa napata ilo tatizo kila nimalizapo kubleed na kwa usafi uwa najitahidi sana,nitumie dawa gani?
 
Wewe K, hiyo itakuwa ni fungusi za ukeni tu. Wanawake wengi karibia asilimoa 80 wanasumbuliwa sana na hiyo kitu, usione wanawake wanatembea barabarani sura zina ghara, huko chini kunakuwa hakufai, wamebabuka na wanawashwa vibaya na fungusi. Chanzo kikuuu ni unyevu nyevu wa ukeni unaotokana na maji au kushindwa kujishwafi sawasawa waendapo haja (ndogo au kubwa). Wengine ni mazingira ya maumbile yao ni rahisi sana kushika kuvu (fungusi). Soma hapa chini unaweza kufuta masharti na kuepuka hiyio kitu,. Ipo dawa fulani nimesahau kwa jina ila hata ukienda pharmacy ya kawaida ukieleza tatizo lako wanaweza kukupa ina boksi la njano imechorwa maua ya rose inatoka uarabuni. Unaitumbukiza kwenye "K" baada ya muda fulani uwanweza kujikuta upo huru na huo usumbufu:

Symptoms of Yeast Infection

It is estimated that over 75% of women suffer from vaginal yeast infection at least once in their lifetime. It is a minor problem that is cured within a couple of days for some, and some women are known to suffer from this fungus for years. It has been noticed that women who have vaginal yeast infection for years have usually not sought medical help, neither have they tried out any proper home remedy to eradicate the fungus.

Some symptoms of vaginal yeast infection are:
  • An unusual thick, odorless, whitish vaginal discharge
  • Unexplained pain during sexual intercourse
  • Uncontrollable itching and a burning sensation in the vagina and the skin surrounding the vagina (vulva)
  • Unexplained swelling of the vulva
  • Burning sensation during urination.
If you suspect that you have vaginal yeast infection and it is the first time, it is advised that you visit your gynecologist and get it checked. It may be some more serious type of vaginal infection or vaginal inflammation such as trichomonas, or bacterial vaginosis.

Home Remedies for Treating Yeast Infection
Vaginal yeast infection can either be cured orally or by vaginal insertion. Most of these home remedies have been tried and tested for their efficacy. You can usually cure yourself in the privacy of your home without the need to visit your gynecologist.

Tea Tree Oil
Tea tree oil is a known natural antifungal. Pour a few drops of undiluted tea tree oil on a tampon coated with a lubricant and insert into vagina. Keep it for at least half an hour. Do this every morning and night for a couple of days. This will surely get rid of the infection.

Garlic
Make a paste of garlic pods and apply to skin around the vagina. It may burn a bit, but is very effective. This paste can be used for yeast infection in other parts of the body too. Another way to use garlic for vaginal yeast infection cure is to cut a few garlic pods fine and wrap it in a cheesecloth. Insert into vagina for about 20 minutes leaving part of cheesecloth hanging out for easy removal.

Yogurt
Dip a tampon in yogurt and insert in vagina. Do this twice a day, once in the morning and at night till symptoms go away. Another way is to take a tablespoon of yogurt and inset into vagina. This is best done at night just before going to bed. Regular douching with yogurt has proved effective. Along with these cures it is also advised to eat plenty of yogurt. It is good for your entire system and will cure the fungus too. Buttermilk gives good results too. Drink a glass of buttermilk in the afternoon, and one at night.

Honey
This is probably the most sticky and uncomfortable way of curing vaginal yeast infection, but it is said to work wonders. Take half a cup of honey into the bathroom. Pour a liberal amount of honey on all affected portions, while sitting on the toilet seat. Be seated this way for about 20 minutes. After this you can have a bath with warm water. Dry the vaginal area thoroughly using super absorbent paper. You will feel much better. Do this twice a day, morning and just before going to bed at night.

Vinegar
Vinegar is renowned for its antibacterial and antifungal properties. Fill a bathtub with warm water mixed with 1 cup of vinegar. Soak in this bath solution for about 20 minutes. Dry the vaginal area thoroughly using super absorbent paper. Any vinegar will do, but the best results have been found using apple cider vinegar.

Precautions to Avoid Yeast Infection
Prevention is better than cure. Taking these precautions will ensure that you do not suffer from vaginal yeast infection.
  • Avoid wearing clothing made of synthetic material
  • Avoid wearing leotards and pantyhose daily
  • Avoid wearing tight fitting panties
  • Avoid wearing tight jeans daily
  • Avoid remaining in wet clothes for too long
  • Wear clothes made of natural fibers
  • Wear well-fitting cotton panties
  • Change wet clothes immediately to dry ones. Wipe yourself clean, especially the vaginal area with super absorbent paper.
  • Avoid using sprays and perfumes in the genital area. Also stay away from deodorant sanitary pads and tampons.
  • After using the toilet always wipe from front to back, never back to front.
Yeast infection can be embarrassing and if not treated in time, it can lead to complications as well. Prevention is the best thing to do but if you have developed the infection, following the above mentioned home remedies for yeast infection should ensure that you never have to suffer and treat yourself for yeast infection ever again.

By Kevin Mathias

Home Remedies for Yeast Infection Cure

Pia:

Is there prevention?
Yes there is, Urine Therapy can help aid in preventing a yeast infection outbreak. They always seem to happen at the most inconvenient of times. So why not use urine therapy as a prevention. Ingesting a small amount of your own urine in the morning (capturing it mid stream) will help boost your immune system. Its the Urea in your urine helps heal and aid in all sort of health related issues in your body.

Your diet can be a major factor, certain foods can lower your immune system because of the lack of vitamins your body craves are in the foods you eat. Cut back on the amount of junk food you consume, also getting rest and drinking plenty of water. Try and keep your stress level down as this could potentially inhibit your recovery time.
Urine Therapy??
Well this isn’t the most popular of dinner table discussions, try and remember the last time you’ve brought this up while passing the potatoes? The Urea in your urine is the key to helping you when you can’t turn to Over The Counter medications. And urine therapy has helped many people over the centuries.

If you are not willing to try urine therapy to help you with your yeast infection, consider trying another method. Why suffer any longer,

Urine therapy for yeast infections | Urotherapy - Exploration into Urine Therapy

Haaaa eti wadada sura nzuri zinang'aa lakini chini kumeharibika haaaa feis buku,arabianfalcon,kongosho,smile,mwali eti kweli?
 
Huu ugonjwa unatia hasira sana.....the most annoying infection in the world..unautibu vizuri baada ya miezi hata mwaka unarudi tena. Wewe Mimi hakikisha pia unamtibu mpenzio kwa kumpatia dawa za kumeza zinapatikana over the counter ingawa kwa wanaume si visible lakini inashauriwa usijitibu mwenyewe tu.
 
Wewe K, hiyo itakuwa ni fungusi za ukeni tu. Wanawake wengi karibia asilimoa 80 wanasumbuliwa sana na hiyo kitu, usione wanawake wanatembea barabarani sura zina ghara, huko chini kunakuwa hakufai, wamebabuka na wanawashwa vibaya na fungusi. Chanzo kikuuu ni unyevu nyevu wa ukeni unaotokana na maji au kushindwa kujishwafi sawasawa waendapo haja (ndogo au kubwa). Wengine ni mazingira ya maumbile yao ni rahisi sana kushika kuvu (fungusi). Soma hapa chini unaweza kufuta masharti na kuepuka hiyio kitu,. Ipo dawa fulani nimesahau kwa jina ila hata ukienda pharmacy ya kawaida ukieleza tatizo lako wanaweza kukupa ina boksi la njano imechorwa maua ya rose inatoka uarabuni. Unaitumbukiza kwenye "K" baada ya muda fulani uwanweza kujikuta upo huru na huo usumbufu:

Symptoms of Yeast Infection

It is estimated that over 75% of women suffer from vaginal yeast infection at least once in their lifetime. It is a minor problem that is cured within a couple of days for some, and some women are known to suffer from this fungus for years. It has been noticed that women who have vaginal yeast infection for years have usually not sought medical help, neither have they tried out any proper home remedy to eradicate the fungus.

Some symptoms of vaginal yeast infection are:
  • An unusual thick, odorless, whitish vaginal discharge
  • Unexplained pain during sexual intercourse
  • Uncontrollable itching and a burning sensation in the vagina and the skin surrounding the vagina (vulva)
  • Unexplained swelling of the vulva
  • Burning sensation during urination.
If you suspect that you have vaginal yeast infection and it is the first time, it is advised that you visit your gynecologist and get it checked. It may be some more serious type of vaginal infection or vaginal inflammation such as trichomonas, or bacterial vaginosis.

Home Remedies for Treating Yeast Infection
Vaginal yeast infection can either be cured orally or by vaginal insertion. Most of these home remedies have been tried and tested for their efficacy. You can usually cure yourself in the privacy of your home without the need to visit your gynecologist.

Tea Tree Oil
Tea tree oil is a known natural antifungal. Pour a few drops of undiluted tea tree oil on a tampon coated with a lubricant and insert into vagina. Keep it for at least half an hour. Do this every morning and night for a couple of days. This will surely get rid of the infection.

Garlic
Make a paste of garlic pods and apply to skin around the vagina. It may burn a bit, but is very effective. This paste can be used for yeast infection in other parts of the body too. Another way to use garlic for vaginal yeast infection cure is to cut a few garlic pods fine and wrap it in a cheesecloth. Insert into vagina for about 20 minutes leaving part of cheesecloth hanging out for easy removal.

Yogurt
Dip a tampon in yogurt and insert in vagina. Do this twice a day, once in the morning and at night till symptoms go away. Another way is to take a tablespoon of yogurt and inset into vagina. This is best done at night just before going to bed. Regular douching with yogurt has proved effective. Along with these cures it is also advised to eat plenty of yogurt. It is good for your entire system and will cure the fungus too. Buttermilk gives good results too. Drink a glass of buttermilk in the afternoon, and one at night.

Honey
This is probably the most sticky and uncomfortable way of curing vaginal yeast infection, but it is said to work wonders. Take half a cup of honey into the bathroom. Pour a liberal amount of honey on all affected portions, while sitting on the toilet seat. Be seated this way for about 20 minutes. After this you can have a bath with warm water. Dry the vaginal area thoroughly using super absorbent paper. You will feel much better. Do this twice a day, morning and just before going to bed at night.

Vinegar
Vinegar is renowned for its antibacterial and antifungal properties. Fill a bathtub with warm water mixed with 1 cup of vinegar. Soak in this bath solution for about 20 minutes. Dry the vaginal area thoroughly using super absorbent paper. Any vinegar will do, but the best results have been found using apple cider vinegar.

Precautions to Avoid Yeast Infection
Prevention is better than cure. Taking these precautions will ensure that you do not suffer from vaginal yeast infection.
  • Avoid wearing clothing made of synthetic material
  • Avoid wearing leotards and pantyhose daily
  • Avoid wearing tight fitting panties
  • Avoid wearing tight jeans daily
  • Avoid remaining in wet clothes for too long
  • Wear clothes made of natural fibers
  • Wear well-fitting cotton panties
  • Change wet clothes immediately to dry ones. Wipe yourself clean, especially the vaginal area with super absorbent paper.
  • Avoid using sprays and perfumes in the genital area. Also stay away from deodorant sanitary pads and tampons.
  • After using the toilet always wipe from front to back, never back to front.
Yeast infection can be embarrassing and if not treated in time, it can lead to complications as well. Prevention is the best thing to do but if you have developed the infection, following the above mentioned home remedies for yeast infection should ensure that you never have to suffer and treat yourself for yeast infection ever again.

By Kevin Mathias

Home Remedies for Yeast Infection Cure

Pia:

Is there prevention?
Yes there is, Urine Therapy can help aid in preventing a yeast infection outbreak. They always seem to happen at the most inconvenient of times. So why not use urine therapy as a prevention. Ingesting a small amount of your own urine in the morning (capturing it mid stream) will help boost your immune system. Its the Urea in your urine helps heal and aid in all sort of health related issues in your body.

Your diet can be a major factor, certain foods can lower your immune system because of the lack of vitamins your body craves are in the foods you eat. Cut back on the amount of junk food you consume, also getting rest and drinking plenty of water. Try and keep your stress level down as this could potentially inhibit your recovery time.
Urine Therapy??
Well this isn't the most popular of dinner table discussions, try and remember the last time you've brought this up while passing the potatoes? The Urea in your urine is the key to helping you when you can't turn to Over The Counter medications. And urine therapy has helped many people over the centuries.

If you are not willing to try urine therapy to help you with your yeast infection, consider trying another method. Why suffer any longer,

Urine therapy for yeast infections | Urotherapy - Exploration into Urine Therapy

Ushauri wa kitaalamu sana, kwa mabinti si vibaya mka copy huu ushauri kisha mkauhifadhi mahala, siku nyingine utamsaidia aliye karibu na wewe.
 
Ukiwa period unavaa pedi ngapi kwa siku? Je, unanawa vizuri wakati unabadilisha au unajifuta tu na toilet paper?
Jitahidi usiku uwe unavaa chupi zisizobana ili uke nao upate hewa tena ukiwa hedhi. Halafu angalia na aina ya pedi unayotumia, soma vizuri expiry date.
 
Epuka kutumia sabuni kali zenye manukato huko kunako.
Pia acha kujitia vidole huko kama njia ya kujiswafi maana K.ina uwezo wa kujiswafi yenyewe.
Tumia maji safi/salama kwa kujisafisha.
Epuka ngono zembe.Tumia condom na uhakikishe unajamiiana na mpenzi mmoja MWAMINIFU; naye atumie anti-fungal
creams kupaka sehemu zake nyeti.
 
Ngono zembe kama hana Mume...

Pia shida moja ambayo kina dada wengi wanasumbuliwa nayo ni kujaribisha kila sampuli ya Pedi ..ikitoka Alwyas, anayo, Angles anayo, malaika, anataka, pengine anaweka vitambaa au tissu za chooni (toilet paper)..jitahidi ushwafi na aina pia ya briefs (kufuli unazotumia nyingine zinasababisha unyevu kutokana na materials zake)
 
kwa hili umetuzaraulisha mkuu
" Wanawake wengi karibia asilimoa 80 wanasumbuliwa sana na hiyo kitu, usione wanawake wanatembea barabarani sura zina ghara, huko chini kunakuwa hakufai, wamebabuka na wanawashwa vibaya na fungusi.
 
naiweka kama signature yangu.
 
@ngoshwe acha uongo ingekuwa ni 80% basi karibu kila mwanamke angekuwa anatembea barabarani huku anajikuna unajua maana ya 80% wewe.

Halafu unajaribu kuonyesha kwamba kuwa mwanamke na kuwa na fungus ni kama kulwa na doto si kweli fungus ni ugonjwa na unaonekana wala huwaelewi wanawake.

@Mimi k
Nakushauri uende hospitali haraka,usicheze na mwili wako,kuwashwa uke sio lazima ziwe fungus,huwezi jua wakati mwingine infection inaweza kuwa mbali kwenye mlango wa kizazi
kamuone daktari ujue tatizo lako.Goodluck.
 
jitahidi unawe na maji ya moto,kila unapokwenda haja ndogo jinawishe vizuri na ubadilishe chupi kila mara
 
Ngono zembe kama hana Mume...

Usifikirie tu kuwa na mume....unajua kuna ndoa za wake wengi? Ni vipi kama mwanaume ana wake zaidi ya mmoja na ukute kuna mmoja ana tatizo sugu la fangasi.Huoni hapo kuna utata? Ukute kuna mke mmoja mzembe kwenye usafi na mambo mengine, pata picha ya mateso ya kuambukizwa kila mara unapojamiiana na mume wenu.
Hata wanaume wenye mke mmoja na huku wanatembea nje ya ndoa na kuokoteza fangasi.Mke wa ndoa atakwepa vipi? Unajua ndoa siyo kinga bali ni hatari kwenye kueneza magonjwa ya zinaa. Katika maambukizi ya UKIMWI Tanzania, kundi lenye maambukizi zaidi ni wana ndoa!
 
kwa hili umetuzaraulisha mkuu
" Wanawake wengi karibia asilimoa 80 wanasumbuliwa sana na hiyo kitu, usione wanawake wanatembea barabarani sura zina ghara, huko chini kunakuwa hakufai, wamebabuka na wanawashwa vibaya na fungusi.

SIYO KWELI! USITUDHALILISHE BANA.WENGINE HATUKUMBUKI NI LINI ZAHAMA HIYO IMETUKUTA.
Kama walivyochangia wengine, muwasho unatofautiana.Kuna muwasho wa kawaida unaotokana na mabadiliko katika via vya uzazi na kuna muwasho unaotokana na magonjwa ya zinaa.Inategemea.Cha muhimu, mwanamke ajiweke safi na amuone daktari pale anapojisikia tofauti huko kunako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom