Inaezekana kabisa mkuu sababu ziko aina karibia 21000 za hiyo mimea kama sikosei sababu muwa ni jamii ya mimea mbayo ukiikata inaota tena kwa vimelea kama vipo alafu naona kama mianzi na matete ndio hivyo hivyo….
Sidhani kama inaweza kuwa na uhusiano. Ukiangalia mtete na muanzi ndani iko hollow (kwa ndani ina uwazi) tofauti na muwa. So mtete na muanzi wanaweza kuwa ndugu wa karibu ila muwa labda ni ndugu kwa mbali sana.

Kweli mkuu ila cha ajabu Muwa ni class moja na hivi vitu, wheat, rice, oat, maize (corn), sorghum, and barley ambazo ni grass family Poaceae, sasa kama matete yapo na mianzi ipo huku basi ni balaa mkuu.
Sugarcane is neither a fruit nor vegetable. It is a perennial grass used for sugar production.
perennial. / (pəˈrɛnɪəl) / adjective. lasting throughout the year or through many years. everlasting; perpetual.