The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
Eti Mtu anaenda airport na nguo nyingine akishuka kwny gari kavaa nguo ingine!ha ha ha,yan cjui kwann tasnia ya film imevamiwa na mbumbumbu,wenzetu ukifatilia tu wale wanaoigiza drama series,wana degree na masters za sanaa,producers wamesoma,afu leo uniambie nimwangalie kanumba,nishndwe kucheki vitu kama The event,fringe,vampire diaries,24,lost n.k na films za ukweli za hollywood..eti nipoteze muda kumuangalia anti ezekiel,akilamba midomo.