Two weeks itafute hikoo poaWakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
Inahusu nini mkuu..tunaomba muhtasari kiduchu tuishusheSeries: Berlin Station ina Season 3.
Ongeza Murder in orient ExpressSeries nzuri za kipelelez au ujasusi
1.Jack Ryan
2.Bridge of spies (movie)
3.SPY (series) hii inaongelea story ya kweli ya jasus wa mossad (cohen) kama uliwai kusoma story yake
4.TEHRAN (series)hii mpya kabis
5.Gentleman (inabid utulize kichwa
6KNIVES (KALI SANA)
7.ANNA
8.EVE
9.Atomic blonde
10.shooter
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
mpya mpya au kuanzia mwaka ganiWakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
Mkuu hii informer mwisho sikuielewa vzur,yule jamaa anaenda wap ??series nzuri za crime
1 El Camino
2 21 bridges
3 black and blue
4 the informer
Kaka hii EL Camino huwezi kuielew mpaka uangalie Breaking bad series sabb hiyo inaonesha maisha ya Jesse baada ya walt kufaseries nzuri za crime
1 El Camino
2 21 bridges
3 black and blue
4 the informer