kichwakipana
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 206
- 45
Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa, Lazima awe anaishi jirani na eneo duka lilipo, mbezi mwisho, mbezi msakuzi, makabe na Msumi
0762071827
0762071827


Unahitaji mtu mwenye sifa zipi?
Mh mjumbe, nakushauri uende na koti jeupe lililo karibia kufika kwenye magoti....![]()














Dawa muhimuAwe na sifa zipi?
Dawa zipi?za mifugo
Au za chooni?
Dawa zote ni muhimu,hakuna dawa isiyo muhimu ndio maana zikatengenezwaDawa muhimu





