Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,126 Reaction score 829,008 Oct 5, 2013 #1 Muuza samaki; samaki samaki samaki Mteja; bei gani? Muuza samaki; 5000/= Mteja; mwisho? Muuza samaki; mkiani Mteja; mbona kalegea? Muuza samaki;baharini alikuwa shoga...!
Muuza samaki; samaki samaki samaki Mteja; bei gani? Muuza samaki; 5000/= Mteja; mwisho? Muuza samaki; mkiani Mteja; mbona kalegea? Muuza samaki;baharini alikuwa shoga...!
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 128 Oct 5, 2013 #2 NImecheka had nikajisahau we mkali
K Kerutu Member Joined Apr 30, 2012 Posts 21 Reaction score 5 Oct 9, 2013 #4 Kwani samaki wote wantoka baharini? Mto ziwa na bwawa