Muuza kuku

Muuza kuku

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Jamaa huyu muuza kuku huko Singida amekuja na staili ya kivyake!

muuza-kuku.jpg
 
jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia??????
 
Wahusika wa haki za wanyama, kuku na bata pelekeni hii njemba mahakamani, alaaaa
 
Maisha kweli kila mtu anatafuta atoke vipi,ila hao kuku anawanyanyasa bora angewaweka kwenye tenga.
 
Mpaka kufika anakoenda, atakuta wamekufa kuku
kama 50, ambayo ndio faida yenyewe.
 
Hapo kuku akikosea tu akaingiza shingo kwenye spoku anakatwa mara moja!
 
hivi hao kuku wakiamua watoe haja kubwa kwa pamoja,huyu jamaa atakuwaje?
 
Back
Top Bottom