Muuza duka la Vipodozi

Muuza duka la Vipodozi

Joined
Jul 26, 2012
Posts
16
Reaction score
4
Natafuta dada kwaajili ya kazi ya kuuza vipodozi,Duka lipo maeneo ya Manzese so nikipata dada anayeishi maeneo ya Magomeni,Usalama,Mwembechai,Kagera,Manzese,Tiptop na Mabibo itakuwa poa coz duka linafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa mbili usiku.Kwa maelezo zaidi Tuma sms kwenye simu no 0782444310 au email fihavangoa@yahoo.com.
Thanks.
This is Baba T.
 
Kukaa jiran kuna husiana nini na kuwahi,mi naitaj sema sikai maeney uloyataja..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom