PostGE2025 Muungano uvunjwe au Tanganyika iwe na Serikali yake pia kama Zanzibar hutasikia chokochoko, tofauti na hapo tujiandae kwa vita nyingi sana

PostGE2025 Muungano uvunjwe au Tanganyika iwe na Serikali yake pia kama Zanzibar hutasikia chokochoko, tofauti na hapo tujiandae kwa vita nyingi sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Alex khalifa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
282
Reaction score
512
Zanzibar kuna raisi, Tanganyika raisi ni nani? Wapeni Tanganyika serikali yao mambo bado mabichi Hali ikiwa mbaya zaidi hatutaweza kuzuia, kuziba ufa ni Bora kuliko kujenga ukuta.

Kama tumeona Kuna haja ya kuwa na waziri wa muungano tena makosa yanarudi kulekule ni mzanzibar hapo kwa kweli shida IPO tena kubwa sana suluhu ya yote ni serikali tatu kuepusha mengi. Tutake tusitake serikali tatu ndo suluhu lasivyo tutashituka damu zime mwagika sana.

tunako elekea sio kizuri kibaya zaidi picha yetu nje imeshachafuka, na hili naona wa kulisimamia ni raisi mwenyewe, maana ndo anae tuhumiwa na nje wanajua Hilo hivo hata asipo husika watamhusisha TU yanini yote hayo kwanini hatua za haraka zisifuatwe,
 
Hili swala ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana then ikazaliwa Tanzania afu bado Zanzibar inatambulika ina rais wake ila Tanganyika haina rais kwangu mimi binafsi haijakaa sawa
 
Hili swala ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana then ikazaliwa Tanzania afu bado Zanzibar inatambulika ina rais wake ila Tanganyika haina rais kwangu mimi binafsi haijakaa sawa
Ukienda kwenye taasisi ya MSAADA Zanzibar vikundi ili ukopeshwe wanadai we huna sifa Rudi bara, LAKI mzanzibar ana jengaa kikubdi bara na anakopeshwa bila shida tutafika kweli happ
 
Back
Top Bottom