Muungano ukivunjika

point yangu ni kwamba, tukitengana mtakuwa tayari kurudi kwenu mtuachie ardhi yetu ya Tanganyia, jinsi mlivyojazana kigamboni, dsm na mikoa yote ya tz. muwe tiari kuhama pia, sio mnalianzisha halafu mnashindwa baadaye.


Mbona hamjiamini mnajisumbua na kisiwa kidogo hivi ???
 

kama ndivyo hamna kwenu! kama unapenda wake za wenzio ukichukuliwa wa kwako kausha usilie lie, tulia na wewe Tg ikutafune....kwani hujui [emoji117] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Butiama haijawahi kudai kujitenga !


Umeongea nini kule juu na unajibu nini , Mnaacha kazi zenu na wakati wenu kwa kijisiwa Zanzibar .Lini mtashughulika na haya ????

Shule zenu mpaka leo ndio hizi






 
kama ndivyo hamna kwenu! kama unapenda wake za wenzio ukichukuliwa wa kwako kausha usilie lie, tulia na wewe Tg ikutafune....kwani hujui [emoji117] View attachment 796763 [emoji38] [emoji38] [emoji38]


Ulitaka tufanye kama yule aliyejiingiza kule kisha akajitoa kwa aliyemzaa
 
Akili kama hizo huwezi ukajua faida ya muungano kwa nyinyi wapemba [emoji12] kula uliwe cha mtu mavi dogo [emoji38]


Ndiyo sheria ya sauna hiyo ??
 

Attachments

  • upload_2018-6-7_15-30-52.jpeg
    11.3 KB · Views: 26
Na ndugu zake akina James lakini sikusikii kusema ndugu wa mungu na mke Wake , Mary sikusikii kusema mke wa mungu

Hawa ndio ndugu Wa Yesu [emoji117] allah amesha kuonya [emoji117] ilaha unaendeleza unafikiri wako [emoji15] [emoji12]
 
Yesu ana Baba? Mie ni juavyo Yesu ana Bibi na Babu, vipi kuhusu wajomba na Shangazi?

Yesu ana Baba [emoji117] kuhusu Babu, shangazi, jomba...[emoji117] [emoji4]
 
KUMBE UNAELEWA KUWA YESU ANAYE MUNGU ?? UNAFANYA JEURI TU

wewe ulitaka Yesu aongeeje wakati Akiwa ktk Hali yake kibindamu kamili au Mungu hana uwezo Wa kuwa kihivyo?¡
 
wewe ulitaka Yesu aongeeje wakati Akiwa ktk Hali yake kibindamu kamiliView attachment 797076 au Mungu hana uwezo Wa kuwa kihivyo?¡



UMEKUWA MSEMAJI WA YESU ????

HICHO ULICHOKIOKOTA NA KUKI-PASTE ALIKISEMA YESU ????

WAPI ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE MIMI NINAYESEMA HAYA NI MUNGU NIKIWA NIMEJIWEKEA NYAMA ??



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…