Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

Magufuli haingii ikulu ila raisi atakae ingia ni Lowassa naitapungua tu wizara kumi zinatosha
 
Mambo ya nje umeiweka wapi mkuu, na usafi wa mazingira + mazingira ziko wizara 2 tofauti kutakuwa na mgongano wa majukumu hapo dala dala
 
Habari yenu Watanzania wenzangu,

Kila jambo na wakati wake kwa majira yake. Uchaguzi Mkuu unafanyika Oktoba, 2015 siku ya Jumapili. Si rahisi kubashiri nani ataibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Urais pengine tusubiri kuona nini kitatokea.

Mara baada ya tarehe 25 Oktoba tutakuwa na mjadala mpana juu ya Muundo wa Serikali ambayo Rais Mpya ataiunda. Nina mawazo ambayo ningependa Rais ajaye ayaweke katika fikra zake na kuyafanyia kazi. Nayo ni haya yafuatayo;

1. Serikali iliyopo ni kubwa mno na ufanisi ni Mdogo; hivyo afikirie kupunguza ukubwa wa Serikali kwa kiwango kikubwa.

2. Muundo wa Utawala hauna tija

Ufafanuzi

1. Ukubwa wa Serikali
Kwa sasa kwa upande wa Tanzania Bara kuna Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na wasaidizi wao. Kimsingi hawa wote kazi zao zinashabihiana. Hawa ni Wateule wa Rais na ni wawakilishi wa Taasisi ya Urais katika ngazi zao. Binafsi sioni kitu cha ziada na chenye manufaa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao kwa sehemu wanatumika kama Makada wa CCM. Ushauri wangu ni kuwa Cheo cha RC na DC kiondolewe tubaki na Watendaji ambao ni Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri. Tutaokoa fedha nyingi sana kwa hatua hii tu.

2. Muundo wa Utawala usio na tija
Tumekuwa na Wizara nyingi lakini ufanisi bado mdogo sana. Makusanyo ya kodi na wigo wa kodi bado ni mdogo, Tija katika sekta za uzalishaji bado ipo chini nk. Ushauri wangu ni kuwa na Wizara chache lakini zenye tija. Ninapendekeza Wizara zisizozidi 15 kama ifuatavyo;

1. Wizara ya Fedha, Uchumi na Uwekezaji,
2. Wizara ya Nishati na Madini,
3. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4. Wizara Maji, Ardhi na Maendeleo ya Makazi
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya, Usafi wa Mazingira na Ustawi wa Jamii
7. Wizara ya Mazingira, Maliasili na Utalii
8. Wizara ya Kilimo, Mifugo, Ushirika na Masoko
9. Wizara ya Viwanda na Biashara
10.Wizara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu
11.Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
12. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
13. Wizara ya Elimu, Ufundi na Sayansi
14. Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
15. Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma

Hatuna sababu ya kuwa na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI). Halmashauri ziwajibike moja kwa moja kwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS). Kwa kufanya hivyo tutaokoa fedha nyingi sana na kuwa na utekelezaji wa haraka. Kwa hiyo Elimu bure kwa wote, Afya bure kwa wazee, watoto na wajawazito inawezekana kabisa.

Aidha, Rais akasimu Mamlaka yake ya uteuzi. Si busara kila uteuzi ufanywe chini ya Ofisi ya Rais. Hali hii imesababisha kujikweza na kuwa na kiburi kwa baadhi ya wateule. Mfano RC hawezi kumfanya chochote RAS kwa kuwa Mamlaka ya Uteuzi ni Rais; Wakuu wa Mashirika hawawezi kuwajibika moja kwa moja kwa Waziri husika badala yake hata wakivulunda inasubiliwa Mamlaka ya Uteuzi kutengua Uteuzi. Huu ni urasimu na ni kuchelewesha maendeleo.

Ninashauri Serikali ijayo izingatie haya. Sisi ni nchi changa lazima tuwe na namna bora zaidi ya kutumia raslimali zetu kwa matokeo makubwa.

Asanteni kwa michango yenu wana JF.

Sipingani na wewe ila WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NI VIZURI IKAWEPO; cheo cha mkuu wa mkoa kibadilishwe jina na kuwa NAIBU WAZIRI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MKOA (mfano) LINDI. Mameya / Wenyeviti wa Halmashauri wakathimiwe kazi za wakuu wa wilaya na bajeti zao zibaki kwenye Halmashauri kama ilivyo sasa
 
Safi sana ili suala la serikali kubwa linaniuma saaaaaaaaaaana
 
Nimeeipenda sana hiyo, Magufuli akiingia la kwanza ni kupunguza wizara ambazo hazina kichwa wala miguu kama ulivoonesha ndugu mleta mada

Atawalipaje fadhila wanaozunguka mikoani kumpigia kampeni zaidi 32?Magufuli kwa CCM ni sisimizi tu wala hakuna mabadiliko
 
Wazo la kuwa na serikali ndogo na yenye ufanisi ni matamanio ya kila mpenda maendeleo ya nchi hii! Tatizo linakuja kwa wanasiasa (viongozi) wetu wanataka kumfurahisha kila aliyejifanya kumuunga mkono wakati wa kampeni. Hapo ndipo zinapofumukia wizara na idara utitiri kwa utitiri.

Ila Wizara ya Fedha iunganishwe na Mipango na kuitwa WIZARA YA FEDHA, UCHUMI NA MIPANGO YA MAENDELEO.

Naomba kutoa hoja.
 
Sijawai kumsikia Lowassa akiongelea jinsi ya serikali itakuwaje ..yeye yuko busy na elimu tu ..swali la ufisadi kaulizwa kaishia kusema eti ni ngumu ..poor man!
 
Mawazo mazuri kweli kweli.Mimi pia sioni haja ya kuwa na Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya haya ni matumizi mabaya ya resources za nchi.

Kwa nyongeza naona kusingekuwa na haja ya kuwa na Waziri na Naibu Waziri,vyeo hivi naona ni vyeo vya kisiasa zaidi na matumizi mabaya tu ya fedha.Kiutendaji Katibu Mkuu anatosha kabisa katika Wizara.

Kwa upande wa Wizara mimi napunguza moja.Wizara ya Mambo ya ndani na Wizara ya Ulinzi na JKT ziwe amalgamated.Jina linaweza kuwa Wizara ya Ulinzi,Magereza na Usalama wa Raia.

Wizara zingine ulizo suggest zibaki kama zilivyo isipokuwa majina yanaweza kubadilishwa kidogo ili ya-reflect uhalisia.

No.6Inaweza kuitwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.Iwe hivyo kwa sababu usafi wa mazingira unasaidia ustawi wa jamii na kwa sababu Wizara No.7 ina deal na mazingira pia ingawa katika mtazamo tofauti.Nia ni kuondoa confusion.Wizara No.7 iitwe Wizara ya Maliasili,Mazingira na Utalii.Change imezingatia umuhimu.Iliyotajwa kwanza ndiyo ya muhimu zaidi kwa ustawi wetu kama taifa.
Habari yenu Watanzania wenzangu,

Kila jambo na wakati wake kwa majira yake. Uchaguzi Mkuu unafanyika Oktoba, 2015 siku ya Jumapili. Si rahisi kubashiri nani ataibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Urais pengine tusubiri kuona nini kitatokea.

Mara baada ya tarehe 25 Oktoba tutakuwa na mjadala mpana juu ya Muundo wa Serikali ambayo Rais Mpya ataiunda. Nina mawazo ambayo ningependa Rais ajaye ayaweke katika fikra zake na kuyafanyia kazi. Nayo ni haya yafuatayo;

1. Serikali iliyopo ni kubwa mno na ufanisi ni Mdogo; hivyo afikirie kupunguza ukubwa wa Serikali kwa kiwango kikubwa.

2. Muundo wa Utawala hauna tija

Ufafanuzi

1. Ukubwa wa Serikali
Kwa sasa kwa upande wa Tanzania Bara kuna Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na wasaidizi wao. Kimsingi hawa wote kazi zao zinashabihiana. Hawa ni Wateule wa Rais na ni wawakilishi wa Taasisi ya Urais katika ngazi zao. Binafsi sioni kitu cha ziada na chenye manufaa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao kwa sehemu wanatumika kama Makada wa CCM. Ushauri wangu ni kuwa Cheo cha RC na DC kiondolewe tubaki na Watendaji ambao ni Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri. Tutaokoa fedha nyingi sana kwa hatua hii tu.

2. Muundo wa Utawala usio na tija
Tumekuwa na Wizara nyingi lakini ufanisi bado mdogo sana. Makusanyo ya kodi na wigo wa kodi bado ni mdogo, Tija katika sekta za uzalishaji bado ipo chini nk. Ushauri wangu ni kuwa na Wizara chache lakini zenye tija. Ninapendekeza Wizara zisizozidi 15 kama ifuatavyo;

1. Wizara ya Fedha, Uchumi na Uwekezaji,
2. Wizara ya Nishati na Madini,
3. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4. Wizara Maji, Ardhi na Maendeleo ya Makazi
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya, Usafi wa Mazingira na Ustawi wa Jamii
7. Wizara ya Mazingira, Maliasili na Utalii
8. Wizara ya Kilimo, Mifugo, Ushirika na Masoko
9. Wizara ya Viwanda na Biashara
10.Wizara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu
11.Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
12. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
13. Wizara ya Elimu, Ufundi na Sayansi
14. Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
15. Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma

Hatuna sababu ya kuwa na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI). Halmashauri ziwajibike moja kwa moja kwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS). Kwa kufanya hivyo tutaokoa fedha nyingi sana na kuwa na utekelezaji wa haraka. Kwa hiyo Elimu bure kwa wote, Afya bure kwa wazee, watoto na wajawazito inawezekana kabisa.

Aidha, Rais akasimu Mamlaka yake ya uteuzi. Si busara kila uteuzi ufanywe chini ya Ofisi ya Rais. Hali hii imesababisha kujikweza na kuwa na kiburi kwa baadhi ya wateule. Mfano RC hawezi kumfanya chochote RAS kwa kuwa Mamlaka ya Uteuzi ni Rais; Wakuu wa Mashirika hawawezi kuwajibika moja kwa moja kwa Waziri husika badala yake hata wakivulunda inasubiliwa Mamlaka ya Uteuzi kutengua Uteuzi. Huu ni urasimu na ni kuchelewesha maendeleo.

Ninashauri Serikali ijayo izingatie haya. Sisi ni nchi changa lazima tuwe na namna bora zaidi ya kutumia raslimali zetu kwa matokeo makubwa.

Asanteni kwa michango yenu wana JF.
 
KATIKA maana ya kubana matumizi pia hatuhitaji watu aina zaidi ya moja wanaofanya kazi zinafanana ni upotevu wa pesa hongera kwa wazo zuri
 
Mimi napendekeza hivi:-
waziri Mkuu: william Lukuvi
1. Wizara ya Mambo ya nje. Mh. Asharose Migilo
2. Wizara ya Fedha. Mh. Mwigulu.
3. Wizara ya Maji Nishati na Madini. Mh. Dr. Slaa
4. Wizara ya Ujenzi,Mawasliano na Uchukuzi. Dr. Mwakyembe.
5. Wizara ya Sayansi, teknojia na elimu ya juu. Prof. Mwandosya
6. Wizara ya Mambo ya Ndani. Mh. Benard Membe.
7. Wizara ya Maliasili na Mazingira.
Mh. January.
8. Wizara ya utumishi na Tawala za mikoa. Mh. Makongoro Nyerere
9. Wizara ya afya. Dr. Mwinyi.
10. Wizara ya Ulinzi. Gen. Mwamunyange, hapa anastaafu na kuteuliwa Ubunge.
11. Wizara ya kazi. Capt. Chiligati

NB:
Governer wa BoT: Prof. Lipumba
Ibrahim Mwakyusa
0767395000

dala;14423260]Habari yenu Watanzania wenzangu,

Kila jambo na wakati wake kwa majira yake. Uchaguzi Mkuu unafanyika Oktoba, 2015 siku ya Jumapili. Si rahisi kubashiri nani ataibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Urais pengine tusubiri kuona nini kitatokea.

Mara baada ya tarehe 25 Oktoba tutakuwa na mjadala mpana juu ya Muundo wa Serikali ambayo Rais Mpymbayo ningependa Rais ajaye ayaweke katika fikra zake na kuyafanyia kazi. Nayo ni haya yafuatayo;

1. Serikali iliyopo ni kubwa mno na ufanisi ni Mdogo; hivyo afikirie kupunguza ukubwa wa Serikali kwa kiwango kikubwa.

2. Muundo wa Utawala hauna tija

Ufafanuzi

1. Ukubwa wa Serikali
Kwa sasa kwa upande wa Tanzania Bara kuna Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na wasaidizi wao. Kimsingi hawa wote kazi zao zinashabihiana. Hawa ni Wateule wa Rais na ni wawakilishi wa Taasisi ya Urais katika ngazi zao. Binafsi sioni kitu cha ziada na chenye manufaa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao kwa sehemu wanatumika kama Makada wa CCM. Ushauri wangu ni kuwa Cheo cha RC na DC kiondolewe tubaki na Watendaji ambao ni Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri. Tutaokoa fedha nyingi sana kwa hatua hii tu.

2. Muundo wa Utawala usio na tija
Tumekuwa na Wizara nyingi lakini ufanisi bado mdogo sana. Makusanyo ya kodi na wigo wa kodi bado ni mdogo, Tija katika sekta za uzalishaji bado ipo chini nk. Ushauri wangu ni kuwa na Wizara chache lakini zenye tija. Ninapendekeza Wizara zisizozidi 15 kama ifuatavyo;

1. Wizara ya Fedha, Uchumi na Uwekezaji,
2. Wizara ya Nishati na Madini,
3. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4. Wizara Maji, Ardhi na Maendeleo ya Makazi
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya, Usafi wa Mazingira na Ustawi wa Jamii
7. Wizara ya Mazingira, Maliasili na Utalii
8. Wizara ya Kilimo, Mifugo, Ushirika na Masoko
9. Wizara ya Viwanda na Biashara
10.Wizara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu
11.Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
12. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
13. Wizara ya Elimu, Ufundi na Sayansi
14. Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
15. Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma

Hatuna sababu ya kuwa na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI). Halmashauri ziwajibike moja kwa moja kwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS). Kwa kufanya hivyo tutaokoa fedha nyingi sana na kuwa na utekelezaji wa haraka. Kwa hiyo Elimu bure kwa wote, Afya bure kwa wazee, watoto na wajawazito inawezekana kabisa.

Aidha, Rais akasimu Mamlaka yake ya uteuzi. Si busara kila uteuzi ufanywe chini ya Ofisi ya Rais. Hali hii imesababisha kujikweza na kuwa na kiburi kwa baadhi ya wateule. Mfano RC hawezi kumfanya chochote RAS kwa kuwa Mamlaka ya Uteuzi ni Rais; Wakuu wa Mashirika hawawezi kuwajibika moja kwa moja kwa Waziri husika badala yake hata wakivulunda inasubiliwa Mamlaka ya Uteuzi kutengua Uteuzi. Huu ni urasimu na ni kuchelewesha maendeleo.

Ninashauri Serikali ijayo izingatie haya. Sisi ni nchi changa lazima tuwe na namna bora zaidi ya kutumia raslimali zetu kwa matokeo makubwa.

Asanteni kwa michango yenu wana JF.[/QUOTE]
 
Umejitahidi kwa mchanganuo wako.
Nadhani magufuli atakukumbuka hata
kwenye ukatibu kata tu.
 
Last edited by a moderator:
unamawazo mazuri japo unaonesha badu u-mtoto kwa hiyo huyajui mengi.
hujui kuwa hilo ni suala la kikatiba. rais hateui mtu kwa mapenzi yake. kwa hiyo suluhisho ni katiba mpya/ au amended.
kuonesha utoto wako hata wizara ya mashauri ya kigeni huoni umuhimu wake. sijui tanzania tutakuwa sayari ingine peke yetu.
ukikua utayajua haya yote na mengine mengi.

Habari yenu Watanzania wenzangu,

Kila jambo na wakati wake kwa majira yake. Uchaguzi Mkuu unafanyika Oktoba, 2015 siku ya Jumapili. Si rahisi kubashiri nani ataibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Urais pengine tusubiri kuona nini kitatokea.

Mara baada ya tarehe 25 Oktoba tutakuwa na mjadala mpana juu ya Muundo wa Serikali ambayo Rais Mpya ataiunda. Nina mawazo ambayo ningependa Rais ajaye ayaweke katika fikra zake na kuyafanyia kazi. Nayo ni haya yafuatayo;

1. Serikali iliyopo ni kubwa mno na ufanisi ni Mdogo; hivyo afikirie kupunguza ukubwa wa Serikali kwa kiwango kikubwa.

2. Muundo wa Utawala hauna tija

Ufafanuzi

1. Ukubwa wa Serikali
Kwa sasa kwa upande wa Tanzania Bara kuna Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na wasaidizi wao. Kimsingi hawa wote kazi zao zinashabihiana. Hawa ni Wateule wa Rais na ni wawakilishi wa Taasisi ya Urais katika ngazi zao. Binafsi sioni kitu cha ziada na chenye manufaa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao kwa sehemu wanatumika kama Makada wa CCM. Ushauri wangu ni kuwa Cheo cha RC na DC kiondolewe tubaki na Watendaji ambao ni Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri. Tutaokoa fedha nyingi sana kwa hatua hii tu.

2. Muundo wa Utawala usio na tija
Tumekuwa na Wizara nyingi lakini ufanisi bado mdogo sana. Makusanyo ya kodi na wigo wa kodi bado ni mdogo, Tija katika sekta za uzalishaji bado ipo chini nk. Ushauri wangu ni kuwa na Wizara chache lakini zenye tija. Ninapendekeza Wizara zisizozidi 15 kama ifuatavyo;

1. Wizara ya Fedha, Uchumi na Uwekezaji,
2. Wizara ya Nishati na Madini,
3. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4. Wizara Maji, Ardhi na Maendeleo ya Makazi
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya, Usafi wa Mazingira na Ustawi wa Jamii
7. Wizara ya Mazingira, Maliasili na Utalii
8. Wizara ya Kilimo, Mifugo, Ushirika na Masoko
9. Wizara ya Viwanda na Biashara
10.Wizara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu
11.Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
12. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
13. Wizara ya Elimu, Ufundi na Sayansi
14. Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
15. Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma

Hatuna sababu ya kuwa na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI). Halmashauri ziwajibike moja kwa moja kwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS). Kwa kufanya hivyo tutaokoa fedha nyingi sana na kuwa na utekelezaji wa haraka. Kwa hiyo Elimu bure kwa wote, Afya bure kwa wazee, watoto na wajawazito inawezekana kabisa.

Aidha, Rais akasimu Mamlaka yake ya uteuzi. Si busara kila uteuzi ufanywe chini ya Ofisi ya Rais. Hali hii imesababisha kujikweza na kuwa na kiburi kwa baadhi ya wateule. Mfano RC hawezi kumfanya chochote RAS kwa kuwa Mamlaka ya Uteuzi ni Rais; Wakuu wa Mashirika hawawezi kuwajibika moja kwa moja kwa Waziri husika badala yake hata wakivulunda inasubiliwa Mamlaka ya Uteuzi kutengua Uteuzi. Huu ni urasimu na ni kuchelewesha maendeleo.

Ninashauri Serikali ijayo izingatie haya. Sisi ni nchi changa lazima tuwe na namna bora zaidi ya kutumia raslimali zetu kwa matokeo makubwa.

Asanteni kwa michango yenu wana JF.
 
Pia wakuu wa mikoa na wilaya wafutwe, warudi ma Rigional Development Directors (RDD) na ma District Development Directors (DDD). Hawa ni wataal, hakuna haja ya wanasiasa,
 
unamawazo mazuri japo unaonesha badu u-mtoto kwa hiyo huyajui mengi.
hujui kuwa hilo ni suala la kikatiba. rais hateui mtu kwa mapenzi yake. kwa hiyo suluhisho ni katiba mpya/ au amended.
kuonesha utoto wako hata wizara ya mashauri ya kigeni huoni umuhimu wake. sijui tanzania tutakuwa sayari ingine peke yetu.
ukikua utayajua haya yote na mengine mengi.
Nafikiri no 11 na 14 zingeunganishwa na kuwa kitu kimoja, sion kazi kubwa iliyopo kwenye hizo wizara mbili, mkuu wa mkoa na wilaya kifutwe cheo kimojawapo.
 
Halafu wizara ya muungano unaiweka wapi au ndo mnayutenga wanzanzibar
 
1. Wizara ya Fedha na Uchumi
2. Wizara ya MaliAsili (Maji Misitu, Utalii,Nishati na Madini,)
3. Wizara ya Mambo ya Ndani
4. Wizara ya Mambo ya Nje
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii
7. Wizara ya Kilimo, Mifugo,
8. Wizara ya Viwanda na Biashara
9. Wizara ya Sheria
10. Wizara ya Utamaduni
11. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
12. Wizara ya Elimu
13, Wizara ya Mipango na Maendeleo

Hakuna haja ya kuwa na Wizara ya Mambo ya Muungano kwa sababu ya mambo hayo kuwa chini ya wizara zitakazokuwa kwenye muungano.

Mikoa itapungua (Nashauri iwe kati ya 8 hadi 12) na itaongozwa na serikali za kuchaguliwa na watu wa mikoa hiyo na kuzigharimia.

Nyingi ya zinazoitwa wizara kwenye hili li serikali zinatakiwa kuwa idara. Ni matumaini yangu Katiba mpya itakuwa na Wizara za Kudumu

Wizara ya maliasili itakuwa n mzigo ukiibebesha majukum yote hayo ambayo n mazito na ndo chanzo cha migogoro mingi

Back
Top Bottom