Muundo wa jiji la dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muundo wa jiji la dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamanda, May 9, 2011.

 1. Mwamanda

  Mwamanda Senior Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Salam aleko

  Suala la muundo wa jiji la DSM nimeona ni vizuri nililete hapa jamvini ili lifahamike na kwani nahisi ni chanzo cha jiji kudorora katika kutoa huduma kwa wananchi.
  Awali jiji la Dsm lilikuwa ni Tume ya Jiji ambayo ilikuwa chini ya bwana Keenja.Ufanisi wake ulikuwa mzuri.Lakini baadaye serikali iliunda manispaa tatu ya Temeke,Kinondoni na Ilala na halmashauri ya Jiji la Dsm kila manispaa ikiwa na mamlaka kamili.Na jiji kubaki na stendi ya mabasi ubungo na Dampo kuu la Pugu ,awali lilipendekezwa liratibu manispaa zote tatu za jiji lakini serikali hakuandaa utaratibu muafaka.
  Matokeo ya muundo huu mpya yanajionyesha hali ya miundo mbinu hususani mifereji na pia uchafu sio nzuri.Mji unakua kiholela .Pengine ni wakati muufaka kufikiria muundo(mfumo) bora utaokuwa na ufanisi mkubwa maendeleo ya DSM .
  Nawasilisha
   
Loading...