Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,413
HADITHI FUPI -ni historia fupi fupi zinazoelezea wazo kuu moja au tukio koja na wahusika wake huwa ni wachache.
SIFA ZA HADITHI FUPI
1 ) Ni fupi
2) Huelezea kitu kimoja au tukio moja.
3)wahusika wake ni wachache ambao hawakuzwi kwq kina.
4)Huanza karibu na mwisho.
5)Haina maelezo mengi ya ufumbuzi
6) Ni masimulizi ya kinathari
7)Haina uchangamano.
MUUNDO WA HADITHI FUPI
1Mwanzo
2Kati na
3Mwisho
Mwanzo wa hadithi
Huelekeza moja kwa moja kwenye msuko wa hadithi,mwandishi aweze kuiskuka vyema hadithi hio ili kuchangia kuleta umoja wa hadithi moja. Aseme yale yanayohitajika tu katika sentensi zake.
Kati kati ya hadithi
Baada ya utangulizi, hadithi inapaswa kuendelezwa ni katika sehem ya katikati ya hadithi ambapo dhamira ya hadithi inapaswa kuendelezwa.
Mwisho wa Hadithi
Mwisho wa hadithi fupi ni sehem muhim sana ni katika sehemu hii mwandishi hudhihirisha waziwazi funzk la hadithi. Ni suluhisho na utatuzi wa mgogoro, Mwisho wa hadithi unaweza kuashiriwa kwa
a) Utatuzi wa tatizo
b) Uhitimishaji wa kawaida kama vile kifo au kupotea
C) Ukamilishaji wa kitanakuzi yaani hali ya kupingana bajna ya mwanzo na mwisho.
d)Udhihirishaji wa funzo
e)Muhtasari wa mada.
f)Mbinu fikirishi
HISTORIA YA HADITHI FUPI
Chimbuko la hadithi fupi ni hadithi simulizi na andishi ambazo zinapatikana katika fasihi ya lugha nyingu duniani
Fani maarufu zinazotajwa kusimuliwa kama hadithi fupi ni kama vile NGANO, HEKAYA, RARA, UFENDI, RIWAYA CHUKU na Hurafa.