Leo serikari 3 kesho utasikia serikari 4 mara 5 au zaidi ! Miaka 50 ya Uhuru tumeshwindwa kuwa wamoja na kuwa na serikari Moja? Na kupunguza gharama za kuiendesha serikari lufufu huku bajeti ikitegemea wafadhili toka nje
JAJI WARIOBA hakutuelewa wazanzibar tunataka mamlaka kamili ya zanzibar nani kamwambia mambo saba ya muungano hiyo akileta huku tutaipiga kibuti .sisi tunajua kusimamia ajenda yetu ya ZANZIBAR KWANZA MAMLAKA KAMILI
''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR'' kwanza mambo saba ya muungano mwisho chumbeee
Chezea rasimu wewe !dawa ni kuzufuta kero zote za muungano si kuleta gharama kuziongoza wizara 4 tu zilizo ktk muungano Kwa kuziletea serikari Tatu! Hizo serikari mbili moja inaongoza eneo kubwa na ingine visiwa lakini huku viongozi watatu.na visiwani watatu pia yaani mkubwa na mdogo ngoma droo !na bado imeshindwa kuwapa umoja hadi kuwa na serikari moja? Dawa ni uawala wa majimbo kama USA wakishindwa wajaribu serikari moja yenye nguvu ikiwa na mbinu za kufuta kero Kwa kasi kubwaJAJI WARIOBA hakutuelewa wazanzibar tunataka mamlaka kamili ya zanzibar nani kamwambia mambo saba ya muungano hiyo akileta huku tutaipiga kibuti .sisi tunajua kusimamia ajenda yetu ya ZANZIBAR KWANZA MAMLAKA KAMILI
''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR'' kwanza mambo saba ya muungano mwisho chumbeee
Ukija maeneo ya ilala buguruni,
vingunguti, magomeni, wapemba wamejaa tele... Kuannzia wajukuu mpaka vilembwe! Nataka muungano uvunjike warudi kwao.. Wanauza mpaka UROJO MISKAKI LAKINI UTASIKIA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO. Tumewabeba vya kutosha hata wakirudi kwao hawatatosha kamwe.
ILA NATAMANI UVUNJIKE WAJE NA PASPORTS ILI WAACHE JEURI.
Chezea rasimu wewe !dawa ni kuzufuta kero zote za muungano si kuleta gharama kuziongoza wizara 4 tu zilizo ktk muungano Kwa kuziletea serikari Tatu! Hizo serikari mbili moja inaongoza eneo kubwa na ingine visiwa lakini huku viongozi watatu.na visiwani watatu pia yaani mkubwa na mdogo ngoma droo !na bado imeshindwa kuwapa umoja hadi kuwa na serikari moja? Dawa ni uawala wa majimbo kama USA wakishindwa wajaribu serikari moja yenye nguvu ikiwa na mbinu za kufuta kero Kwa kasi kubwa
Mkuu kwa nini? Sisi wengine tunashangilia kurudishiwa bendera yetu, wimbo wetu wa taifa na jina la Nchi yetu. Ninyi mmekuwa navyo hivyo wakati wengine tulikuwa tunapiga miayo kuvisubiri hivyo vitu.
Ukija maeneo ya ilala buguruni,
vingunguti, magomeni, wapemba wamejaa tele... Kuannzia wajukuu mpaka vilembwe! Nataka muungano uvunjike warudi kwao.. Wanauza mpaka UROJO MISKAKI LAKINI UTASIKIA WANASEMA HAWATAKI MUUNGANO. Tumewabeba vya kutosha hata wakirudi kwao hawatatosha kamwe.
ILA NATAMANI UVUNJIKE WAJE NA PASPORTS ILI WAACHE JEURI.
Mtwara na arusha kuwa jamuhuri, kikwete ataomba visaMambo bado hapo hii ni Rasimu tu Mkuu
subiri andiko la Katiba Mpya ndiyo utajua
Lazima Pemba nayo iwe Jamhuri .
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,
Mwisho hata CHUMBE nayo itakua Jamhuri!Mambo bado hapo hii ni Rasimu tu Mkuu
subiri andiko la Katiba Mpya ndiyo utajua
Lazima Pemba nayo iwe Jamhuri .
Huyu Kasheshe kuna kitu amekiona!Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone.
Kasheshe @ Bububu,