Muulize swali Banana Zoro akiwa LIVE kwenye Safari Lager Kizibo Pesa Challenge

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Msanii mkali wa miondoko ya RnB nchini, Banana Zoro anaongea na Babuu wa Kitaa muda huu kupitia Safari Lager Kizibo Challenge. Mfuatilie hapa.

Msanii mkali wa miondoko ya RnB nchini, Banana Zoro anaongea na Babuu wa Kitaa muda huu kupitia Safari Lager Kizibo Challenge. Mfuatilie hapa.

Banana Zorro amefunguka kuwa hatoweza kuacha kupiga kopi kwakuwa wateja wake wengi wanapenda yeye aimbe kopi licha ya wadau kuhoji kwanini amekuwa akiimba aina hiyo ya muziki kwenye maonesho yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom