Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,077 Reaction score 51,239 Jul 10, 2012 #1 Naingia mgahawani kupata kifungua kinywa natengenezewa mayai matatu na vikorombwezo vyake..bili inakuja elfu tatu kwa mayai tu..nauliza kwanini mayai mnauza bei ghali hivyo?? Mhudumu anajibu..kamuulize kuku kwanini amefanya mayai kuwa ghali hivyo??
Naingia mgahawani kupata kifungua kinywa natengenezewa mayai matatu na vikorombwezo vyake..bili inakuja elfu tatu kwa mayai tu..nauliza kwanini mayai mnauza bei ghali hivyo?? Mhudumu anajibu..kamuulize kuku kwanini amefanya mayai kuwa ghali hivyo??
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Jul 10, 2012 #2 Amekujibu kamuulize kuku usimjibu we uchubue! Sakafia kwanza hiyo miyai , ukimaliza unaanza kuchapa lapa bila kulipa. Atakwambia "we mbona unaondoka bila kulipa?" mjibu "ziulize hela kwanini hazilipi ?"
Amekujibu kamuulize kuku usimjibu we uchubue! Sakafia kwanza hiyo miyai , ukimaliza unaanza kuchapa lapa bila kulipa. Atakwambia "we mbona unaondoka bila kulipa?" mjibu "ziulize hela kwanini hazilipi ?"