Muujiza gani mkubwa kushinda huu??

Muujiza gani mkubwa kushinda huu??

huyu lazima atakuwa ametumia fursa vizuri...nawasihi na wengine watumie fursa ipasavyo
 
Kwakuwa ni mwanamke huo si muujiza. Angekuwa kidume huo ungekuwa muujiza wa karne

hahaha babu aspirin dada wa watu ameona fursa jamaniii nyie mnaita muujiza!
NOTE: Fursa ni neneo pana saaaana.
 
hahaha babu aspirin dada wa watu ameona fursa jamaniii nyie mnaita muujiza!
NOTE: Fursa ni neneo pana saaaana.

Hivi unajua nina mpango wa kutocheza tena na wewe?

Ndo nini sasa unachonifanyia?
 
Back
Top Bottom