Muuguzi anayedaiwa kumwambia mama wa mgonjwa ‘ataisoma namba kumchagua Magufuli’ atambuliwa


ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
646
Likes
112
Points
60
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
646 112 60
Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya anayedaiwa kumkamshifu Junes Elias, mkazi wa Mbozi mkoani Songwe na Rais John Magufuli ametambuliwa.

Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Dk Gloria Mbwille alisema muuguzi huyo ametambuliwa na kwamba tume imeundwa kuchunguza tuhuma zinazomkabili.

Hata hivyo, alikataa kuzungumzia zaidi kuhusu muuguzi huyo wala kumtaja jina akisema taarifa zaidi zitatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya tume kukamilisha uchunguzi huo. Juzi mchana, Junes alimueleza Makalla kwamba alifika hospitalini hapo Novemba 22 asubuhi akitokea wilayani Mbozi.

Alisema baada alifuata taratibu za kufungua kadi kwa gharama ya Sh5,000 kwa ajili ya kutaka matibabu ya mtoto wake, Joyce Asifiwe (9), lakini alikashfiwa kwenye dirisha la dawa akiambiwa ataisoma namba kwa kumchagua Rais Magufuli.

Alisema baada ya kumuona daktari aliandikiwa dawa za kwenda kuchukua kwenye dirisha ambako ndiko alikotolewa maneno ya kashfa.

“Kwenye dirisha hilo nilimkuta muuguzi mmoja ambaye aliniambia kwamba dawa zote zinauzwa. Hapa hakuna dawa za bure, si mlimchagua Magufuli, sasa mtaisoma namba,’’ alisema akidai kumnukuu aliyemtaja kuwa ni muuguzi.

Baada ya kumsikiliza malalamiko hayo, Makalla aliagiza mganga mkuu aitwe, lakini ilielezwa alikuwa safarini, hivyo kaimu wake, Dk Ismail Macha alifika.

Makalla alimueleza Dk Macha kwa kifupi yaliyojiri kutoka kwa mlalamikaji huyo na kumtaka waongozane hadi hospitalini na kuwaita wauguzi waliokuwa zamu Novemba 22 dirisha la dawa ili amtambue mhusika na achukuliwe hatua jambo ambalo limefanyika.


Chanzo: Mwananchi la tarehe 26/11/2016
 
NDULUMESO

NDULUMESO

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
231
Likes
171
Points
60
NDULUMESO

NDULUMESO

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2013
231 171 60
Habari ya mwendokasi......
Muda mwengine uwage unasubiri upate taarifa ya kueleweka
 
Gaspare Mbile

Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Messages
1,419
Likes
1,345
Points
280
Age
31
Gaspare Mbile

Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2016
1,419 1,345 280
Sasa huyo mama aliyeleta mwanae kumtibu anaambiwa ataisoma namba maana dawa zinauzwa anakasirika nini? Kwani haisomi namba? Yaani kuna watanzania mamburula sana,huyo muuguzi kama hakuna ushahidi atashinda.
 
DAFU NA NDIMU

DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
2,732
Likes
3,458
Points
280
DAFU NA NDIMU

DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
2,732 3,458 280
Kuunda tume tena?
Serikali hii imeshawahi kuunda tume?
Mbona majipu yamekuwa yakitumbuliwa bila kukamuliwa hadharani. Kunani kwa huyu muuguzi?
Au kausema ukweli?
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,157
Likes
4,643
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,157 4,643 280
Watu wajinga kila jambo baya wanausisha na wimbo wa CCM
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Mambo mengine bwana.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Baada ya uchunguzi ukweli utajulikana.
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,202
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,202 280
Habari ya mwendokasi......
Muda mwengine uwage unasubiri upate taarifa ya kueleweka
Sasa hujaelewa nini hapo? Wengine kusoma tu kichwa cha habari tumeshaelewa... Wewe kama hujaelewa paragraph zote hizi, bila shaka utakuwa ni key lazer!
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,786
Likes
21,950
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,786 21,950 280
kumbe neno kuisoma namba ni udhalilishaji
mbona tulidhalilishwa sana
 

Forum statistics

Threads 1,275,066
Members 490,894
Posts 30,531,990