Anataka ubunge wa kuchaguliwa na rais kwani Kikwete anapenda watu wa namna hii. Mtasikia tu jamaa kakwea ubunge wa kuteuliwa kisha aanze kututungia sheria za kise.nge!
Acheni unafiki au kwa sbb ni black ppo.Angekuwa mzungu mngebaki kutoa meno mara ooo wazungu bana,mara oo wazungu wamebuni hii ona,mara oo masharo igeni,Wizi mtupu ,Rihana anatoka frontpage ya magazine akiwa na Chupi,itakuwa kwa braza etu apo yhupo njema kabisa?mmebakia watumwa wa kfkra.JIKUBALI.
#mi Afrika ndivyo ilivyo
sijui sign ya nani hii,Big UP.
Mkongo wafundshe hawajui maana ya UBUNIFU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.