Mutharika kurudi nyumbani Jumapili

Hahaha
Hawa viongoz kweli wanatofautiana, wakat huku bongo yaan watu tunamsihi Rais aka onane na wenzie , huyu akienda anazamia huko huko wananchi wana msihi arudi
Too much is harmful kwenye kila kitu , lazima viongoz wajue ku balance mambo, uskae sana ndani ukajitenga, pia ustoke sana nje ukawasahau wana nch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…