Muswada wa kupinga ushoga kurudishwa tena Bungeni Uganda

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Baadhi ya wabunge nchini Uganda wamekusudia kuridisha Bungeni Muswaada wa kupinga ushoga nchini humo..., hii inatokana na mahakama ya katiba kufuta sheria hiyo siku chache zilizopita..!

"Hatua hiyo inaelezwa kuwa wabunge hao wataangalia upya yalemapungufu yaliyokuwemo kwenye sheria iliyofutwa na mahaka ya katiba nakupelekea sheria hiyo kufutwa.

"Muswaada huu mpya unategemewa kuwa na makali zaidi kuliko sheria iliyofutwa siku chache zilizopita. Hii itakuwa ni onyo kwa wote wanajihusisha, na wale wote wanaotetea vitendo vya mahusiano ya jinsia moja kuwa watashughulikiwa vikali.

Chanzo: Radio DW Swahili
 
Back
Top Bottom