Muswaada wa Baraza la vijana Taifa unaoletwa bungeni uondolewe

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,085
#OndoaMuswadaDhaifu wa Baraza la Taifa la Vijana.

Mwaka 2013, kuliwasilishwa bungeni muswada Binafsi wa Baraza la Taifa la Vijana.

Ratiba ya Bunge Mkutano wa 19 tarehe 17.03.2015 mpaka 01.04.2015 unaonesha kuwa Serikali imepanga kuwasilisha muswada wa Serikali wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015. Huu ni muswada mpya na ni kinyume cha kanuni za kudumu za bunge kujadili muswada ambao tayari ulishawasilishwa kwa njia binafsi.

Ratiba ya Bunge inaonesha kuwa tarehe 31.03.2015 Bunge litapitia miswada miwili ambayo kwenye ratiba inasomeka "Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015(Serikali)" na "Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015"

Hali hii inaleta confusion(mkorogano) kwa Sababu kwa mujibu wa Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge inaashiria kuwa kuna miswada mitatu kwenye jambo hilo hilo moja.

1. Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 ambao huu ni wa Serikali na umeibuliwa mwaka 2015.

2.Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 (huu sijui umewasilishwa na Mbunge yupi bungeni)

3. Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2013(ambao huu uliwasilishwa bungeni na Mhe. John Mnyika) na huu ndio muswada ambao vijana tuliotolea maoni katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge inayoshughulikia Huduma za Jamii, Jinsia na watoto tarehe 22 Septemba 2014 ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Dar es Salaam.

Kamati hiyo hiyo leo 23.03.2015 saa 4 asubuhi inakutana na wadau kukusanya maoni juu ya Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 amboa ni wa serikali na umejaa udhaifu mkubwa, na pia haujazingatia tamaduni na taratibu za kibunge katika uwasilishwaji wa miswada. Pia ni muswada ambao umetupilia mbali maoni waliyotoa vijana mwezi Septemba mwaka 2014.

Kwa vijana ambao mko Dodoma, mnaweza kwenda Bungeni muda huu kuonana na kamati na kuomba ufafanuzi wa hili suala ili tujue hatma ya Baraza hili la Vijana na kuwaomba viongozi wa Kamati kusaid ia kazi ya kuondoa Muswada huo wenye udhaifu mkubwa kwa sababu tayari kuna confusion kubwa juu ya nini itakuwa mwisho wa jambo hili.
 
Muswada huwo ukipelekwa na kupitishwa ukatakuwa ni kuendelea kushikilia mawazo ya vijana. Hakuna mahala ambapo vijana wamepewa mamlaka ya kuchagua kiongozi wao zaidi ya waziri kuwa mteuzi. Tunazikataa hizi nyadhifa zauteuzi tunataka kuchangua wenyewe.
 
Wewe ni mgonjwa, unataka kiongozi wa vijana achaguliwe kisiasa kwa kufanya Kampeni?
 
Utaratibu uwekwe mzuri siyo huwo wa kuchaguliwa na waziri anayetokana na chama fulani.
Tunapaswa kuwa na utaratibu mzuri na sahihi na siyo kuamuliwa mambo yetu na vyama.
 
#OndoaMuswadaDhaifu wa Baraza la Taifa la Vijana.

Mwaka 2013, kuliwasilishwa bungeni muswada Binafsi wa Baraza la Taifa la Vijana.

Ratiba ya Bunge Mkutano wa 19 tarehe 17.03.2015 mpaka 01.04.2015 unaonesha kuwa Serikali imepanga kuwasilisha muswada wa Serikali wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015. Huu ni muswada mpya na ni kinyume cha kanuni za kudumu za bunge kujadili muswada ambao tayari ulishawasilishwa kwa njia binafsi.

Ratiba ya Bunge inaonesha kuwa tarehe 31.03.2015 Bunge litapitia miswada miwili ambayo kwenye ratiba inasomeka "Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015(Serikali)" na "Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015"

Hali hii inaleta confusion(mkorogano) kwa Sababu kwa mujibu wa Ratiba ya Mkutano wa 19 wa Bunge inaashiria kuwa kuna miswada mitatu kwenye jambo hilo hilo moja.

1. Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 ambao huu ni wa Serikali na umeibuliwa mwaka 2015.

2.Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 (huu sijui umewasilishwa na Mbunge yupi bungeni)

3. Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2013(ambao huu uliwasilishwa bungeni na Mhe. John Mnyika) na huu ndio muswada ambao vijana tuliotolea maoni katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge inayoshughulikia Huduma za Jamii, Jinsia na watoto tarehe 22 Septemba 2014 ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Dar es Salaam.

Kamati hiyo hiyo leo 23.03.2015 saa 4 asubuhi inakutana na wadau kukusanya maoni juu ya Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015 amboa ni wa serikali na umejaa udhaifu mkubwa, na pia haujazingatia tamaduni na taratibu za kibunge katika uwasilishwaji wa miswada. Pia ni muswada ambao umetupilia mbali maoni waliyotoa vijana mwezi Septemba mwaka 2014.

Kwa vijana ambao mko Dodoma, mnaweza kwenda Bungeni muda huu kuonana na kamati na kuomba ufafanuzi wa hili suala ili tujue hatma ya Baraza hili la Vijana na kuwaomba viongozi wa Kamati kusaid ia kazi ya kuondoa Muswada huo wenye udhaifu mkubwa kwa sababu tayari kuna confusion kubwa juu ya nini itakuwa mwisho wa jambo hili.
Ingekuwa vyema sana kama ungetutajia hayo madhaifu yaliyopo kwenye muswada huo.
 
Back
Top Bottom