Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.
Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Bwasheeeeee HIV sio hatari kama UVIKO-19 tafuta kingineMsukuma muathirika wa HIV aendelee na dozi yake aache siasa
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Gombeeni kwenu msiwe mnakuja MwanzaHuyo Musukuma naona uelewa wake unaishia Mwanza. Busisi ndiyo daraja refu kuliko yote katika Afrika!! Amedanganywa na nani?
Msukuma ni kati ya wabunge wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kwa hiyo Dialo asiongee kwa kuwa mkewe aliteuliwa kuwa DED?Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.
Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Huyo musukuma hovyo kabisa, asitishe watu kwa uchawi wake na bhangi pia ujambazi wake.Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.
Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Ila wakisema ya moyoni kuhusu mboe unachachamaaUdarasa la saba wake unaonekana.
1. Hajamualewa Diallo
2. Anaongea mambo ambayo hayapingi hoja! tuache watu waseme wa moyoni hasa kwa ukweli kwamba hamna hoja ya msingi ya kumpinga Diallo
Ila wakisema ya moyoni kuhusu mboe unachachamaa
Hatari na nusuWasukuma walio wengi wanaonekana kama wana shida kichwani. Huyu Mbunge ana hoja nzito sana. Unajua watu ambao umaarufu wao ni "Mwanamalundi", mchawi aliyekuwa anakausha watu, wanyama na miti kwa vidole, wakati ukiangalia makabila mengine karibia yote yalikuwa na watu maarufu kwa ajili ya kujenga umoja wao kwa mfano:
Wahehe--- Mtemi Mkwawa
Wanyamwezi----- Mtemi Mirambo
Wahaya------ Mtemi Rumanyika
Tanga------ Mtemi Kimweri
Wachagga----- Mtemi Mangi,
Wakurya----- hawa hawakuwa na haja ya kuwa na mtemi kwa sababu kila mtu ni mtemi na umoja kwao ndiyo asili yao, mtoto wa kikurya anazaliwa na asili ya umoja kutoka tumboni mwa mama yake!
n.k.
Kwa hiyo wakati makabila haya yote yakiwa na watu hawa maarufuwaliokuwa wamejikita kwa ajili ya kujenga jamii zao na umoja wao, wasukumma wao walikuwa na Mwanamalundi. Na hapa ndipo tatizo linapoanzia.
Hawa watu hawakufundishwa maadili ya kuwa na asili ya umoja from the start, kwa hiyo umoja wao siyo asili yao kabisa na ndiyo maana ni kabila kubwa lakini maskini sana! Ukitaka umumalize msukuma kirahisi zaidi, mtafutie msukuma mwenzake. usimtafutie mhaya au mchagga, hao huwa wanwasingizia; mtafutie msukuma mwenzake, basi. Hata ukimpata wa kuzaliwa , toka nitoke, tumbo moja hapo ndiyo basi unakuwa umefika kabisa, huna shida kama mtu mwenye hela
Utafiti wa BBC kuhusiana na mauaji ya Albino yaliyowahi kufanyika hapa nchini, ulibaini kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kwanza mabaya na makubwa kabisa kuwahi kutokea duniani yaliyohusisha imani za kishirikiana. Hii maana yake ni nini? Ni kwamba kwenye mauaji ya Albino, Wasukuma walishika rekodi ya kwanza duniani kwa uchawi na kuwa wajinga na watu wa ajabu duniani nzima. Kwa hiyo kuna possibility kwamba msukuma anaweza akawa ni mtu wa kwanza kwa uchawi duniani. Mji usioonekana unasemekana uko Gamboshi unaosemekana ndiyo mji mkuu wa wachawi Duniani, na si mji mkuu wa wachawi Tanzania, hapana.
Inasemekana pia kuwa madhabahu kubwa kabisa za kichawi duniani, mojawapo ipo baharini kwenye ile inayoitwa Bermuda Triangle, na ile ya nchi kavu iko usukumani, Gamboshi. Wasukuma wenzangu kwa kweli huwa wananiangusha sana, hilo siwezi kuficha kabisa!
Wakurya----- hawa hawakuwa na haja ya kuwa na mtemi kwa sababu kila mtu ni mtemi na umoja kwao ndiyo asili yao, mtoto wa kikurya anazaliwa na asili ya umoja kutoka tumboni mwa mama yake! Hawa wao hawahitaji kufundishwa umoja, ni asili yao wanazaliwa hivyo
n.k.
Kuna ndege usukumani wapo huwa wanatengeneza vita vyao kwenye majaruba ya mpunga, ila wakati majaruba yakiwa yana maji ya kutosha. Wanatengeneza viota vyao juu ya maji, na wakishataga mayai, wanatotolesha vifatanga vyao kwenye kiota juu ya maji. Muda ule tu vifaranga vinapokuwa vimetotoleshwa, yaani kifaranga kikishatoka tu kwenye ganda la yai, muda huo huo kinaingia majini na kuanza kuogelea, bila hata kufundishwa. Hivi vifaranga vimefanana na wakurya. Mkurya huwa hahitaji kufundishwa discipline ya umoja kwa sababu hiyo ni asili yake, huwa anazaliwa akiwa tayari na discipline hiyo bila kufundishwa. Mtu huwa hafundishwi asili yake, huwa anazaliwa nayoHapa kwa watani zangu Wakurya nimecheka sana Mkuu