Mtazamo Chanya
Member
- Nov 6, 2012
- 35
- 5
natamani niige ila zangu hazitakubaliKama mende lol
natamani niige ila zangu hazitakubali
ila huyu hilo sharubu kamzidi hata pakaHahahaha pole weka za kubandika lol
Ha ha ha wewe mchokozi!Hahahaha pole weka za kubandika lol
zinakupendeza hivohivo kama zilivyo bana!!natamani niige ila zangu hazitakubali
aaaah kwani we hupendi niwe na kama mustache kama ya huyo?zinakupendeza hivohivo kama zilivyo bana!!
katibu mkuu atamfananisha
Hapa Bongo alikuwepo Mzee Kinyondo R.I.P (Mzee wa Mtemba) alikuwa na sharubu kama hizo jumlisha na sharafa...