Anti-monitor
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 426
- 589
Oppenheimer na mission impossible mpaka mwezi wa 10Oppenheimer imeshaachiwa kwenye streaming platforms? au bado mzee Nolan anakusanya maokoto? Kama tayari mwenye link afanye kudondosha hapa🙏🏽
Oppenheimer na mission impossible mpaka mwezi wa 10Oppenheimer imeshaachiwa kwenye streaming platforms? au bado mzee Nolan anakusanya maokoto? Kama tayari mwenye link afanye kudondosha hapa🙏🏽
Duh itabidi nijivute Cinema sasa. Mbona imechelewa hivyo kama maokoto wameshakusanya ya kutosha.Oppenheimer na mission impossible mpaka mwezi wa 10
Labda bado hayajafikia mahitaji yaoDuh itabidi nijivute Cinema sasa. Mbona imechelewa hivyo kama maokoto wameshakusanya ya kutosha.
Zipo cinema izoDuh itabidi nijivute Cinema sasa. Mbona imechelewa hivyo kama maokoto wameshakusanya ya kutosha.
hiki kifurushi unajiunga vp??Cha wafanyakaziView attachment 2651725
TehranMOVIE YA MAADHI YA FAUDA PLEASE AMBAYO NI COMPLETE NAHITAJI WADAU
Naichukua mambo mengine mbere kwa mbereHii vipi Wakuu?View attachment 2741782
Nina wasiwasi isijekuwa ya kiduanzi nikajila kuipakua.Naichukua mambo mengine mbere kwa mbere
Rate yake tu hapo inasema kuwa hio movie hamna kitu 4.4/10Hii vipi Wakuu?View attachment 2741782
Hivi itahitaji niangalie zilizopita ili nielew hii ya mwaka huuIndiana Jones ial of destiny aisee kwangu imekuwa disappoint. Nimejutia MB zangu, naipa 4/10
Itanoga zaidi kama ukiangalia za nyuma japo kila Indiana Jones movie inakua na adventure yake inayojitegemea. So unaweza kuelewa story bila kuangalia zilizopita.Hivi itahitaji niangalie zilizopita ili nielew hii ya mwaka huu
Nitaitafuta, umeangalia RRR ya kihindi story ni nzuriNimemaliza kuangalia Meg 2 The Trench aiseee ni kigongo ila suala la kuua Megalodon kwa panga boi bado sijaliafiki
Wazee wa kucheza danadana pikipiki yaani pikipiki inabigwa kwa mguu kama mpira 😁😁😁Nitaitafuta, umeangalia RRR ya kihindi story ni nzuri
Ila wamejitahidi story nzuriWazee wa kucheza danadana pikipiki yaani pikipiki inabigwa kwa mguu kama mpira 😁😁😁
Wahindi sina interest nao aisee wana uongo wa kitoto sanaNitaitafuta, umeangalia RRR ya kihindi story ni nzuri