sio kwenye mapambano mkuuWese huoni mijini watu wenye uoni hafifu wanavuka barabara vizuri huku wale wenye macho mawili yanayo ona viziri wakiweweseka pindi wavukapo?
mbona iko poa tuMovie za Michael j white nyingi ni low budget. Tyrese labda kwenye fast and furious tu, ana filamu yake "The system" ya mwaka jana hamna kitu kabisa.
Nitaicheki mkuu maana sina zingine za kuangalia japo sitegemei makubwambona iko poa tu
Nmeongelea The system uliosema hamna kituNitaicheki mkuu maana sina zingine za kuangalia japo sitegemei makubwa
Movie ya kawaida sana hii, story nyepesi lakini pia action zake hazishitui.
doh mkuu nakumbuka niliifuta baada ya kuangaliaNmeongelea The system uliosema hamna kitu
Ohoo ngoja nitaichek maana nimesha ishushaMovie ya kawaida sana hii, story nyepesi lakini pia action zake hazishitui.
Hata hivyo kwenye movies kila mtu huwa na taste zake.
Sijui kuhusu Hilo, kuna wakati napenda kuangalia Tu movie online na kuiachia hukohukoMb's utakazotumia kuangalia movie nzima online, zitakuwa tofauti na zile za kuivuta movie?
Ni movie nzuri but action scenes zake ni unreal kama SISU tuMiaka inavyozidi kwenda inajidhihirisha kabisa hakutakuja kutokea muvi kali ya action kama hii tena
Especially Hollywood, hawatokuja kuleta kigongo kikali kama The Raid
Nilikuwa natumia app ya FZ movie sijui siku hizi ina nini haifunguki tena
Nilifikiri hatoweza kurusha Jeb&Right kumbe yupo njema kidogoUmeona wazungu walivyonoma uwezi kuamini kwamba yule bonge ndo Scott adkins, huku bongo JB anaigiza bonge tangu mtoto mpka anazeeka abadiliki View attachment 2635440View attachment 2635442
Subir tushuke nayoMzigo huu unastory kali sana kirusi kimesambaa kwa njia ya hewa kila kiliempata anajidhuru au kujiua nimesikiliza review kidogo kwa jamaa anajiita Dulle kid Instagram View attachment 2640788
Star ni Marc Weinberg yule wa Patrol Day na Lone survivor (Marcus Lutrell)Subir tushuke nayo
Asante kakaStar ni Marc Weinberg yule wa Patrol Day na Lone survivor (Marcus Lutrell)
Action scenes zote ni unreal haijalishi ni muv ganNi movie nzuri but action scenes zake ni unreal kama SISU tu
Action zote ni unreal ila usifananishe action za The Raid 2 na SisuNi movie nzuri but action scenes zake ni unreal kama SISU tu
unajipaga muda wa kucheki hta behind the scenes katika movies???Action scenes zote ni unreal haijalishi ni muv gan