Must see Movies

Hii kitu ya nyuma kidogo ila ni kati movies zangu bora za vita vya kale. David vs Goliath kinda vibe.

Waliowahi kuitazama mnaipa ngapi hii muvi.
 
Ni ya kawaida Sana computer imetumika Sana story yake pia haina mvuto ukiicheki trailer lake Unaweza kudhani bonge la movie ukiangalia kabisa full unaona uhalisia ni overrated Sana si Bora uicheki ya mwanangu donnie yen inaitwa Ranging fire
Nipo naangalia Carter hapa kwanza ipo overrated, uongo uongo aisee sio poa jamaa jinsi anapigana na wale ma agents kwenye zile minivans tatu na kwa wale wa mapikipiki yani hakuna uhalisia plus camera haijatulia mara inabinuka hivi mara vile, mara ipinde hivi, unajikuta unatamani hata uinamishe tv ili uone vizuri na hapa ndio waliponichosha mpaka zile action zinaisha nmehisi kizunguzungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…