MUST READ: Ukweli kuhusu mapenzi

MUST READ: Ukweli kuhusu mapenzi

Ahsante sana mkuu Nyenyere kwa somo zuri, niko hapa namuomba Mungu anisaidie nilibadili hili bandiko kivitendo, maana naishiaga kusoma na kuelewa vitendo vinakuwa sifuri..!! 🙁
Information haimbili mtu ila conversion. Mwenyezi Mungu akusdie uweze kufikia mabadiliko ya kweli
 
Mapenzi sio hisia hata kidogo. Dunia ya leo inatufundisha kwamba mapenzi ni hisia azipatazo mtu kama reaction kwa kuvutiwa na mtu mwingine. Ukweli ni kuwa huo ni uongo unaomaliza ndoa siku hizi.

Hisia (feelings) ni matokeo ya mvuto wa nje aupatao mwanamke dhidi ya mwanamume ama kinyume chake. Zingatia kwamba hilo ni tendo linalofanyika nje ya mwili, halitoki ndani. Maana yake ni nini? Macho yanaona kisha yanauambia moyo kuwa yalichokiona ni kizuri, kisha moyo unajibu kwa kupeleka hisia mwilini.

Ukitazama kwa makini utagundua kuwa jambo hili huletwa na mvuto wa sifa ndogo ndogo za nje, mfano uso, kiuno chembamba, miguu ya bia, nywele ndefu n.k. Sasa ikitokea sifa hizi zimebadilika mapenzi hakuna tena. Macho hayaonintena ule uzuri na hivyo yanapeleka taariifa tofauti kwenye moyo, ambao nao unaleta hisia hasi kwwnye mwili. Ghafla yule uliyedhania unampenda kuliko vyote duniani anageuka kituko, tena wengine hufikia kusingizia uchawi, kwamba alinipata kwa kutumia madawa, kumbe ujinga ndio uchawi wenyewe!!

Mapenzi ya kweli yanaanzia moyoni, tena hayo sio hisia za nje bali ni uchaguzi. Mapenzi ya kweli ni kuchagua kupenda sio kufuata hisia za nje. Bob Ludala aliimba kweli aliposema &nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana.& Sio umenifanya nikuchague, bali nimekupima nikaamua nikuchague. Ukimpenda mtu kwa mfumo huu, hakika mtazikana kwa sababu maisha yenu yatakuwa ni ya kujengana kuliko kutafutiana kasoro.

Sex sio mapenzi. Tumefika mahali ambapo mapenzi yanapimwa kwa kuomba ngono. Ukweli ni kuwa ngono ni hitimisho la maamuzi ya kupenda, wala sio ishara ya mapenzi. Ndio maana tangu zamani watu waliweza kudumu kwenye uchumba kwa muda mrefu bila kuchokana na mwishowe wakaja kuoana, kulik ilivyo hivi sasa ambapo uli uchumba udumu mwanamke ni lazima akubali kuutoa mwili wake. Kisha baadaye mwanamume ana nafasi kubwa ya kutafyta binti mwingine wa kuoa kwa sababu huyu ameshamkinai na alimtumia bila maagano (mkataba).

Iko siri moja kwako mwanamke, sex kabla ya ndoa si mapenzi hata kidogo bali ni ishara kubwa kwamba hakupendi wala kukuthamini. Ukikubali kufanya ngono na mwanamume kabla ya ndoa basi ujue umejiweka kuwa mtumwa wake, huu ni ukweli mchungu. Mwanamume hupambana ili kupata mwanamke, kisha akishakumpata akalala naye thamani ya mwanamke huyo huisha mara moja. Hata kama ataendelea kuwa na wewe lakini elewa kuwa yeye ndiye mwenye mamlaka yote, ama awe nawe ama akutupe kama toilet paper. Liko tendo la ajabu hapa, kuwa mwanamke kwa upande wake akilala na mwanamume ndipo hufanya muunganiko na yeye hugeuka mwenye kupambana kuyatunza mapenzi. Kazi ya mwanamume huwa imekwisha, kumpata mwanamke japo kwa usiku mmoja tu, hapo mapenzi hufikia kikomo. Chunga sana moyo wako ewe binti, usiuweke mateka kwa kujidanganya na mapenzi feki. Epuka utumwa wa ngono kwani utaondoa thamani yako na utaishi kwa majuto maisha yako yote.

Matokeo ya kujiingiza kwenye utumwa wa mapenzi ni kuishi kwa kuhangaika kujaribu kumridhisha mpenzi wako ili asione wengine. Hapo utakuwa umejiweka kwenye utumwa mpya wa kuangalia dunia inataka nini, hutafuata utashi wako bali kile kinachontrend wakati huomusije ukapitwa na wakati mpenzi wako akakuacha. Kama wanawake weupe ndio urembo wa wakati huo, basi utalazimika kwenda kuchubua ngozi ilimukimbizane na wakati kwa ajili ya kumridhisha mwanamume ambaye wala hana malengo nawe.

Mapenzi sio feelings ni choice!! Kama mwanamume akichagua kukupenda, haijalishi umeumbikaje, hataona mapungufu. Wakati watu wanashangaa imekuwaje akakuchagua wewe, yeye anawashangaa wanawezaje kutokuona uzuri ulio ndani yako!! Kama mwanamume alikupenda kwa sifa za nje, basi ujue akisongwa na jamii atatiwa upofu asione thamani yako tena. Ndivyo inavyokiwa hata kwenye ndoa, kama mwanamume hakumchagua mke bali aliendeshwa na hisia, basi hisia hizo zitakwisha mara moja kwani kupishana kwenye ndoa ni jambo la kawaida.

Ndio maana kwa wakristo wametakiwa kumpenda adui, neno hili lina maana kubwa sana maishani. Mapungufu ndani ya ndoa hujenga uadui, husababisha mke na mume kuchukiana mwishowe hukaribisha roho ya zinaa, kutqfuta faraja mahali pengine. Lakini kama watu wangeisikia hii sheria ya Kristo, kumpenda adui yako, basi ndoa nyingi zingekuwa salama hata leo. Mwenza ako akikukosea unasema moyoni, nampenda kwa jinsi alivyo, kwenye mapungufu mnarekebisha. Katika hilo hakutakuwa na haja ya kutafuta mke wa pili ama zaidi kwa sababu ulichagua mke ambaye ulimkusudia moyoni, si kwa kuendeshwa na tamaa za mwili, bali kwa kuamua moyoni kuwa nitampenda huyu maisha yangu yote.

Kwa wanaume : ni dhambi kubwa kutembea na mwanamke kabla ya ndoa, ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu kuna maagano mawili muhimu kabisa, yote haya ni maagano ya damu. Agano la govi na agano la bikira. Nitafafanua siku zijazomkuhusu haya lakini fahamu kuwa kufanya umalaya ni kujiua mwenyewe nafsi yako na mifano ipi mingi tu, tena iko wazi kabisa ingawa hatuoni. Hizi nafsi zinazo tangatanga mitaani, kwenye majumba ya ukahaba, kwenye baa n.k. ni matokeo ya baadhi ya wanaume kuharibu future zao, hivyo basi damu yao inafuatilia. Miba zilizotolewa pia ni janga ambalo wwnaume wamejitengenezea bila kujua, watoto wa mitaani n.k. Sasa haya mambo yana nguvu sana kwenye ulimwengu wa roho, na mambo yote huanzia kwenye ulimwengu wa roho ndipo hudhihirika katika ulimwengu wa mwili tukaona matokeo yake.

Najua wapo wengi hawaamini katika ulimwengu wa roho, hawa wamekuwa vipofu wakati mambo yanatokea mbele ya macho yao wenyewe! Mifano michache; 1. watu wanakwenda kwa waganga kutafuta utajiri, mganga anaingia kwenye ulimwengu wa roho kutengeneza tukio, lkikamilia anakupa masharti ufanye nini ili lithibitike kwenye ulimwengu wa mwili. 2. Watu wanakwenda kwa waganga kuomba watoto 3. Kutafuta vyeo 4. Kuua ama kudhuru nafsi nyingine 5. Kuona yajayo n.k.

Sasa yote hayo hudhihirika kwanza kwenye ulimwengu wa roho, ndipo huthibitishwa huku duniani kwa kuzingatia maelekezo yanayotolewa ili kuyafunua.

Kwa leo naishia hapo kwani baadhinya wadau wamekuwa wakishauri kuwa nisiandike makala ndefu sana ili wapate wasaa mzuri wa kusoma na kuchangia.

Nawapenda nyote.
no matter how feeling she do have for you if you dont give her a good dick she will end up fuvcking other man and love with all her feeling shifted to him and you will be crying yourself and wonder where and how you went wrong. The todays generations are sex worshipers for me sex comes first then nice guy stuffs follows.
 
Naungana na mtoa mada siku hizi wadada wengi wanajitahidi kuwaridhisha wapenzi wao ili wasiwaache mbaya zaidi wanafanya mapenzi kinyume na maumbile ili tu kwenda sambamba na ulimwengu
Kiufupi kufanya mapenzi kabla ya ndoa haswa kwa wanawake nikujiandaa kufa kwa stress OVA
 
no matter how feeling she do have for you if you dont give her a good dick she will end up fuvcking other man and love with all her feeling shifted to him and you will be crying yourself and wonder where and how you went wrong. The todays generations are sex worshipers for me sex comes first then nice guy stuffs follows.
And that is a devil's lie. Ingekuwa hivyo break up rates leo hii zingekiwa chini. Ni tamaa ndio zinaongoza mapenzi, watu leo hii wanatawaliwa na miili kuliko kuitawala miili yao.
 
Mapenzi sio hisia hata kidogo. Dunia ya leo inatufundisha kwamba mapenzi ni hisia azipatazo mtu kama reaction kwa kuvutiwa na mtu mwingine. Ukweli ni kuwa huo ni uongo unaomaliza ndoa siku hizi.

Hisia (feelings) ni matokeo ya mvuto wa nje aupatao mwanamke dhidi ya mwanamume ama kinyume chake. Zingatia kwamba hilo ni tendo linalofanyika nje ya mwili, halitoki ndani. Maana yake ni nini? Macho yanaona kisha yanauambia moyo kuwa yalichokiona ni kizuri, kisha moyo unajibu kwa kupeleka hisia mwilini.

Ukitazama kwa makini utagundua kuwa jambo hili huletwa na mvuto wa sifa ndogo ndogo za nje, mfano uso, kiuno chembamba, miguu ya bia, nywele ndefu n.k. Sasa ikitokea sifa hizi zimebadilika mapenzi hakuna tena. Macho hayaonintena ule uzuri na hivyo yanapeleka taariifa tofauti kwenye moyo, ambao nao unaleta hisia hasi kwwnye mwili. Ghafla yule uliyedhania unampenda kuliko vyote duniani anageuka kituko, tena wengine hufikia kusingizia uchawi, kwamba alinipata kwa kutumia madawa, kumbe ujinga ndio uchawi wenyewe!!

Mapenzi ya kweli yanaanzia moyoni, tena hayo sio hisia za nje bali ni uchaguzi. Mapenzi ya kweli ni kuchagua kupenda sio kufuata hisia za nje. Bob Ludala aliimba kweli aliposema &nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana.& Sio umenifanya nikuchague, bali nimekupima nikaamua nikuchague. Ukimpenda mtu kwa mfumo huu, hakika mtazikana kwa sababu maisha yenu yatakuwa ni ya kujengana kuliko kutafutiana kasoro.

Sex sio mapenzi. Tumefika mahali ambapo mapenzi yanapimwa kwa kuomba ngono. Ukweli ni kuwa ngono ni hitimisho la maamuzi ya kupenda, wala sio ishara ya mapenzi. Ndio maana tangu zamani watu waliweza kudumu kwenye uchumba kwa muda mrefu bila kuchokana na mwishowe wakaja kuoana, kulik ilivyo hivi sasa ambapo uli uchumba udumu mwanamke ni lazima akubali kuutoa mwili wake. Kisha baadaye mwanamume ana nafasi kubwa ya kutafyta binti mwingine wa kuoa kwa sababu huyu ameshamkinai na alimtumia bila maagano (mkataba).

Iko siri moja kwako mwanamke, sex kabla ya ndoa si mapenzi hata kidogo bali ni ishara kubwa kwamba hakupendi wala kukuthamini. Ukikubali kufanya ngono na mwanamume kabla ya ndoa basi ujue umejiweka kuwa mtumwa wake, huu ni ukweli mchungu. Mwanamume hupambana ili kupata mwanamke, kisha akishakumpata akalala naye thamani ya mwanamke huyo huisha mara moja. Hata kama ataendelea kuwa na wewe lakini elewa kuwa yeye ndiye mwenye mamlaka yote, ama awe nawe ama akutupe kama toilet paper. Liko tendo la ajabu hapa, kuwa mwanamke kwa upande wake akilala na mwanamume ndipo hufanya muunganiko na yeye hugeuka mwenye kupambana kuyatunza mapenzi. Kazi ya mwanamume huwa imekwisha, kumpata mwanamke japo kwa usiku mmoja tu, hapo mapenzi hufikia kikomo. Chunga sana moyo wako ewe binti, usiuweke mateka kwa kujidanganya na mapenzi feki. Epuka utumwa wa ngono kwani utaondoa thamani yako na utaishi kwa majuto maisha yako yote.

Matokeo ya kujiingiza kwenye utumwa wa mapenzi ni kuishi kwa kuhangaika kujaribu kumridhisha mpenzi wako ili asione wengine. Hapo utakuwa umejiweka kwenye utumwa mpya wa kuangalia dunia inataka nini, hutafuata utashi wako bali kile kinachontrend wakati huomusije ukapitwa na wakati mpenzi wako akakuacha. Kama wanawake weupe ndio urembo wa wakati huo, basi utalazimika kwenda kuchubua ngozi ilimukimbizane na wakati kwa ajili ya kumridhisha mwanamume ambaye wala hana malengo nawe.

Mapenzi sio feelings ni choice!! Kama mwanamume akichagua kukupenda, haijalishi umeumbikaje, hataona mapungufu. Wakati watu wanashangaa imekuwaje akakuchagua wewe, yeye anawashangaa wanawezaje kutokuona uzuri ulio ndani yako!! Kama mwanamume alikupenda kwa sifa za nje, basi ujue akisongwa na jamii atatiwa upofu asione thamani yako tena. Ndivyo inavyokiwa hata kwenye ndoa, kama mwanamume hakumchagua mke bali aliendeshwa na hisia, basi hisia hizo zitakwisha mara moja kwani kupishana kwenye ndoa ni jambo la kawaida.

Ndio maana kwa wakristo wametakiwa kumpenda adui, neno hili lina maana kubwa sana maishani. Mapungufu ndani ya ndoa hujenga uadui, husababisha mke na mume kuchukiana mwishowe hukaribisha roho ya zinaa, kutqfuta faraja mahali pengine. Lakini kama watu wangeisikia hii sheria ya Kristo, kumpenda adui yako, basi ndoa nyingi zingekuwa salama hata leo. Mwenza ako akikukosea unasema moyoni, nampenda kwa jinsi alivyo, kwenye mapungufu mnarekebisha. Katika hilo hakutakuwa na haja ya kutafuta mke wa pili ama zaidi kwa sababu ulichagua mke ambaye ulimkusudia moyoni, si kwa kuendeshwa na tamaa za mwili, bali kwa kuamua moyoni kuwa nitampenda huyu maisha yangu yote.

Kwa wanaume : ni dhambi kubwa kutembea na mwanamke kabla ya ndoa, ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu kuna maagano mawili muhimu kabisa, yote haya ni maagano ya damu. Agano la govi na agano la bikira. Nitafafanua siku zijazomkuhusu haya lakini fahamu kuwa kufanya umalaya ni kujiua mwenyewe nafsi yako na mifano ipi mingi tu, tena iko wazi kabisa ingawa hatuoni. Hizi nafsi zinazo tangatanga mitaani, kwenye majumba ya ukahaba, kwenye baa n.k. ni matokeo ya baadhi ya wanaume kuharibu future zao, hivyo basi damu yao inafuatilia. Miba zilizotolewa pia ni janga ambalo wwnaume wamejitengenezea bila kujua, watoto wa mitaani n.k. Sasa haya mambo yana nguvu sana kwenye ulimwengu wa roho, na mambo yote huanzia kwenye ulimwengu wa roho ndipo hudhihirika katika ulimwengu wa mwili tukaona matokeo yake.

Najua wapo wengi hawaamini katika ulimwengu wa roho, hawa wamekuwa vipofu wakati mambo yanatokea mbele ya macho yao wenyewe! Mifano michache; 1. watu wanakwenda kwa waganga kutafuta utajiri, mganga anaingia kwenye ulimwengu wa roho kutengeneza tukio, lkikamilia anakupa masharti ufanye nini ili lithibitike kwenye ulimwengu wa mwili. 2. Watu wanakwenda kwa waganga kuomba watoto 3. Kutafuta vyeo 4. Kuua ama kudhuru nafsi nyingine 5. Kuona yajayo n.k.

Sasa yote hayo hudhihirika kwanza kwenye ulimwengu wa roho, ndipo huthibitishwa huku duniani kwa kuzingatia maelekezo yanayotolewa ili kuyafunua.

Kwa leo naishia hapo kwani baadhinya wadau wamekuwa wakishauri kuwa nisiandike makala ndefu sana ili wapate wasaa mzuri wa kusoma na kuchangia.

Nawapenda nyote.

Saint anne
Nimeuona Leo brother.
App yangu hainipi notification kwa wakati.
Dah ujumbe mzito..ngoja niusome Tena kwa Mara nyingine
 
Back
Top Bottom