Laptop01
JF-Expert Member
- Nov 29, 2009
- 1,389
- 826
Sijajua Wadhifa wa Mbunge huyu katika majadiliano ya Bunge Lakini namuona tu akiwa anaongoza majadiliano siku mbalimbali huko Bungeni hasa ktk kipindi hiki cha mijadala ya bajeti 2017/2018. Ni Mara chache sana akafikia adhabu ya kumtoa mbunge nje ya Ukumbi.
Kilichonisukuma kumsifu siku ya leo ni mbinu yake mpya kabisa (Novel Leadership Style) ya kuongoza majadiliano ya Bajeti ya JWTZ, KUSIKILIZA WANADHIMU WAKUU PEKE YAO ili kuwezesha majadiliano bila unnecessary interventions. Mbinu hii imewezesha majadiliano kuendelea vema.
Bravo Zungu ktk hili.