Mussa Azzan Zungu: Mbunge lazima akaguliwe Bungeni, hujui umemka na nani?

Mussa Azzan Zungu: Mbunge lazima akaguliwe Bungeni, hujui umemka na nani?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472

Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti.

Amesema hayo Bungeni leo tarehe 11, Juni, 2025.
 
Sifa ya kuwa mbunge wa TANZANIA.
1. Ajue kumsifia RAIS
2. Ajue kupiga makofi na kukata mauno.
3. Ajue kusoma na kuandika ( darasa la saba hata form 4 aliyeiba mitihani yake)
 
Back
Top Bottom