PostGE2025 Mussa Azzan Zungu kuunda kamati ya ushirikiano na Bunge la UAE

PostGE2025 Mussa Azzan Zungu kuunda kamati ya ushirikiano na Bunge la UAE

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mussa Azzan Zungu, pamoja na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed, walikutana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash, Abu Dhabi tarehe 25 Novemba 2025.

1764307977325.png
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa kibunge baina ya Tanzania na UAE, na yameazimia kuunda kamati ya kudumu ya ushirikiano. Kamati hiyo itaratibu masuala ya pamoja, ikiwemo ziara za Wabunge na viongozi wa Mabunge ya pande zote mbili, kubadilishana uzoefu na kuimarisha uwezo katika masuala ya kibunge.
1764308009807.png
 
Naona Per diem na upigaji wa kiziara unatengezwa kwa style tamu
Sawa Zungu wewe Zunguka tu
 
Back
Top Bottom