Sahihi. Miaka hiyo mtaa wa Kusaga waliishi wahindi. Ukivuka mtaa wa sokoni ndiko yalikokuwa makazi ya waswahili.
Nilimfahamu mzee Msonge, kama nakumbuka vyema aliuawa kwa kupigwa risasi na majambazi.
Wahindi baadae walihamia mtaa wa Ghandi au uligawanywa maana niliondoka muda mrefu huko.