sapiwi
Member
- May 29, 2014
- 17
- 5
MUSOMA MJINI WABADILI MBINU ZA MAANDAMANO SASA POLISI NDO WAANZA KUANDAMANA.
Baada ya polisi kuomba kuongezewa nguvu za askari kutoka kanda maalum ya Tarime na Ryorya na askari hao kuingia mjini Musoma.
Viongozi na wanachama walibadili mbinu za maandamano kwa kutoka katikati ya mji na kwenda kuanzia eneo la Etaro nje kidogo ya mji wa Musoma na kuacha askari hawajui nini cha kufanya matokeo yake maaskari sasa ndio wanaonekana wakiandamani mitaani.
Hali hii imeamsha ari ya wakazi wa Musoma Mjini kuona kuwa maaskari wameamua kuwasaidia CHADEMA kuandamana hadi imefikia baadhi ya wananchi kuwarushia mabango.
Kwa muda huu sasa maandamano ya makamanda ya ukweli yako Nyamiongo yakielekea ofisi ya mkuu wa mko wa Mara.