Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,385
Nenda,Wasalaamu wakubwa na wadogo siku ya leo imenibidi nitembele maeneo ya musoma mjini sasa nipo nagoogle map maeneo ya kusafisha macho kwa wenyeji mnaweza nipa muelekeo wa maeneo muhimu ikiwezekana niwe kwenye kumbukumbu yangu ahsanteni.
Nipo maeneo aisee japo yamepoa sanaNenda,
- Bwiru stand
- Tembo beach
- Peninsula beach
- Mtakuja street
- Mwigobero
- Mara, Musoma tech.
- Songe sec. school
nenda majita road, makoko na buhare
hao si wakulya ni wakwaya na wajitaNgoja nikae hapa niwasikilize wakulya, hawapendi uongo hawa, ukiwadanganya hawachelewi kukukata mapanga
Ngoja nikae hapa niwasikilize wakulya, hawapendi uongo hawa, ukiwadanganya hawachelewi kukukata mapanga
ok kama vipi njoo nyakato
kwani wewe uko wapiKama unaelekea wapi boss
Uwe mwangalifu na umuheshimu kila mtu, usitembee na mke wa mtu hawachelewagi hao kukugawana kwa kutumia mapanga tetetetetetetetetetete[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu unavisa unajua huu msimu nimeamua kwenda maeneo ufukwe kujienjoy kidogo
Musoma wengi ni Wajita.Ngoja nikae hapa niwasikilize wakulya, hawapendi uongo hawa, ukiwadanganya hawachelewi kukukata mapanga
hao si wakulya ni wakwaya na wajita
kwani wewe uko wapi
Musoma wengi ni Wajita.
Wakurya wengine wanapatikana Tarime, wilaya nyingine kabisa.
Kwani mkuu unafikiri wajita wao ndiyo wanapenda uongo, shauri yako wewe wadanganye uone kama utamaliza mwakaMusoma wengi ni Wajita.
Wakurya wengi wanapatikana Tarime, wilaya nyingine kabisa.
hao si wakulya ni wakwaya na wajita