Muslims demand: Divide tanzania

Muslims demand: Divide tanzania

:smow::smow::smow::smow: wewe uliyesoma sana, unamchango gani kwenye taifa hili, zaidi ya UFISADI?
Ukweli utabaki palepale kiongozi kama huyo hawezi kuongea ujinga kama huo,ni vema kiongozi awe na elimu dunia hata form four ili uweze kupembua vitu,wenzao wanaanzia na degree angalau moja thus why wanaweza kukaa na serikali wakabadilishana mawazo au kui criticize,ili ujue shule muhimu angalia BAKWATA wanavyotumika kuwahadaa MUSLIM,nadhani jibu unalo hapo ju ya bakwata
 
Mada nyingine Bana!! bora niburudike na kiduku hapa......

 
Last edited by a moderator:
Sasa parts gani waisilamu wanaitaka? sababu kumbuka kuna makabila na watu wasio na dini kwenye hayo maombi ya kuigawa nchi
 
minaona mumechukua maneno machache katika speech yake,alivyosema kama mfumo kristo uta endelea tz basi nchi i dividiwe kwa waislam na wakristo,kama mtu msomi yeyote anayesikia atasema kuwa lengo lake ni kusikuwe na mfumo kristo serikalini.
 
Back
Top Bottom