hii mpendwa the most Tiba ubuheri? dadangu huu mtindo hauruhusiwi kwenye kitabu. "ila ni chimbuko la uzushi wa kisasa duniani" Baadhi ya waisilamu tuu ndiyo wanajiridhisha furaha za hizi.
Mkuu, karibu tena usisite kama una masuali MOST welcom.
Good luck
Mpendwa kennedy, hiyo event ni moja kati ya maonyesho mbalimbali hufanywa na baadhi, tena baadhi ya waisilamu katika jamii au kimataifa.!! Haihusiani na kitabu ila baadhi ya waumini hawaafikiani this is between themselves.
THE NOBEL QUR'AN (kitabu takatifu) hairuhusu. hizi sherehe wanazizindua kivyao !! wangine siyo lazima kuzikubali matter of choice.
Take care mkuu kila la heri!
Mkuu haina Noma ni baadhi ya wisilamu huiga na wengine hawana habari na maonyesho au mitindo mbali mbali " its not a big DEAL "
Japo majority haiafikiani... ofcoz wapo waisilamu wenye kupenda Shows na lifestyles pia hawajakataliwa "ISLAM TODAY"
Good LUCK