Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
😀😀ukiwa na mashine hiyo unakosaje penuna pen au karam karbu mkuu...Yaonekan radio yako imepoteza uwezo wa ku-preview (rewind back)
😂😂😂😂umeua mkuu...kw yote😀😀ukiwa na mashine hiyo unakosaje pen
Enzi hizo unakuta kijijini mtu anayo kanisani anarekodi kwaya yupo pale mbele, tajiri wa kijijini au Mwalimu😂😂😂😂umeua mkuu...kw yote
old is gold....saiz hakuna io kitu kam io so sad an
Mtaani zilkuw kelele za miti na redio mbil tatu kw mbali..co saiz fujo tupuEnzi hizo unakuta kijijini mtu anayo kanisani anarekodi kwaya yupo pale mbele, tajiri wa kijijini au Mwalimu
Yeah, tumetoka mbali sana mkuuMtaani zilkuw kelele za miti na redio mbil tatu kw mbali..co saiz fujo tupu
😁😁😁Alie milki dvd player ata kweny udon alkuw amevuka et..Yeah, tumetoka mbali sana mkuu
😀😀😀😀😀😁😁😁Alie milki dvd player ata kweny udon alkuw amevuka et..
Umenikumbusha baiskeli ilikuwa kama Range daah,Tv kushika remote ilikuwa ni kwa family members tuUtajir ungekuw ni Radio ya kaseti,Tv na baiskel kam zaman bac kw miaka hii WTz wote tungekuw tunaenda shopping Dubai