JAXPAROW95
Member
- Feb 7, 2016
- 71
- 27
Habari wakuu, tatizo langu ni kwamba kila nkiwa napiga mziki kwenye redio yangu nikaongeza sauti tu basi inakata sauti yote hadi nichomoe power plug alaf nirudishe tena, sijajua tatizo nini ingawa ilikuwa inapiga music vizur sauti hadi 60 ila sahivi hata 30 utata.
subwoofer zake ziko mbili kila moja ni 8 ohms. Naambatanisha na picha
subwoofer zake ziko mbili kila moja ni 8 ohms. Naambatanisha na picha